Home
Unlabelled
jumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siku "hizo" zinakumbukwa na siku iliyotengwa itaenziwa daima. Hii picha ilipigwa Chang'ombe Uwanja wa Taifa. Jumba (nafikiri ni sahihi kuliita Jukwaa) hilo lilijengwa maalum ndani ya uwanja,kuwawezesha waombolezaji walioweza na kupata nafasi ya kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Baba wetu wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1922-1999)kupita kwa utaratibu na kutoa heshima zao za mwisho. Baba yetu wa Taifa alifariki 0730GMT kwenye Hospitali ya Mtakatifu Thomas (St.Thomas's Hospital) mjini London, Uingereza tarehe 14 mwezi wa kumi mwaka 1999.
ReplyDeleteHilo Jukwaa lipo wapo siku hizi? Je wali libomoa au kulitunza kama kumbukumbu? Wanao fahamu tupeni majibu. Mungu iweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina
ReplyDeleteMichuzi wapi zinaweza kunapatikana medical record za Mheshimiwa marehemu J.K.?
ReplyDeleteHivi wewe anony wa 5:13 mbona mjinga sana?? Unategemea vipi upatiwe medical records za mtu yeyote yule ambaye siyo mwanao wa kuzaa tena aliye chini ya miaka 18? Tokea lini medical records za mgonjwa zikawekwa wazi kwa umma nzima ya wananchi, sembuse za mtu mwenye nyadhifa ya "Baba wa Taifa"?? Nyie washamba wengine kutoka bara mnatia aibu sana. Nadhani ushaanda "mwito" kwa Rais JK aweke wazi medical records za JK Nyerere! FALA WEWE!!! SHENZI TYPE!!!!
ReplyDeleteHizo medical records za Nyerere utazipata kwa gagula wako kijiji ulichotokea. HIVI JIULIZE: WEWE NI NANI HADI UDAI KUPATIWA MEDICAL RECORDS ZA NYERERE??? PUMBU WEWE!!!
ReplyDeleteIna onesha kabisa ustaharabu hamna kabisa, Huyo ndugu hapo juu kauliza swali vizuri nyie mnakuja na jaziba. Ni vizuri mngemuelimisha kwa lugha nzuri na sio kumtukana. Ni ushauri tu.
ReplyDeletejamani kutaka kujua records za mwalimu ni kuweza kujua nini alichokuwa ana umwa, 2: Kifo chake kilikuwa kweli ktk tarehe iliyo tangazwa au walituficha ili waiweke nchi ktk hali ya ulinzi, 3:Ni lini maradhi yake yaligunduliwa, 4: Je Serikali ilifanya nguvu gani ktk kumsaidia kumtibu, 5: Ni nini kilikuwa chanzo cha maradhi yake je yangeweza kuepukika au isingewezekana, 6: Je maradhi yake yalitokana na mapendo ya Mungu au alipewa sumu yenye maradhi hayo?
ReplyDeleteKwa kumsaidia tu anony. hapo juu nasema kwamba Msiwe wagumu kuelewa kuhusu medical records za kiongozi wa nchi na kiongozi wa watu ni kitu cha kawaida tu.
Sasa hivi wananchi wa Italy wanaiomba Serikali ya Italy ioneshe Medical Records na pia wachunguze ni jinsi gani Kiongozi wao Benito Mussolini alikufa na hii ni sawa sawa na huyo anony. anavyo omba kujua Medical Records za Nyerere akiwa kama Kiongozi wake na kama Raia wa Tanzania.
Click hapa kupata habari zaidi.
JK NYERERE alikuwa na kansa ya damu -Leukaemia- hivi ndivyo walivyosema na vyombo vyote vya dola. Sasa zaidi basi waulizeni familia hasa mkewe maana ndio lazima angekua neksti of kini. Sawa? mana msituchoshe hapa na jarida hili, watu wangine walisha zusha ati alikufa na ukimwi, wabongo mbona mna nuksi hivi? acheni majungu. Kama inavyojulikana mtoto wa bwana Mengi alikufa na ukimwi lakini hawakutangaza ugonjwa alokufa nao nini, kwamana hiyo ni hawakukubali au kukanusha lakini hizi habari ni za uhakika. Ila JK bwana ni kansa ya damu, kama kuna mwenye tarifa tafauti basi mjitokeze, ndio maana ya bulogu hii ya kimataifa, hamna kuogopa unaingia unamwaga yako, yanaanikwa, au siyo, waungwana? Asanteni
ReplyDelete