napeana tano na abubakar liongo, mmoja wa watangazaji mashuhuri nchini. hapa tunaagana maan kesho anakwea pipa kuelekea ujerumani ambako panapo majaaliwa anategemewa kuanza mzigo redio doche velle, bila shaka kuziba pengo aliloacha mzee wa macharanga chaaaaaz hilari ambae sasa kahamia bibi siii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Nilisikia sauti ya charles hillary bbc, nikashindwa kuelewa imekuaje, kumbe keshaama

    ReplyDelete
  2. Abuu hongera sana!
    Michuzi, thanks a lot for posting this picture on a timely fashin manner kwani nimeweza kumpigia simu Abuu na kumuaga...much love!!

    ReplyDelete
  3. hivi si raha kupata ajira hii ingawa waliofanya kazi huko wanadai malipo ni madogo sema kuna uhuru wa kwenda kubeba maboksi baada ya kazi...big up kwa watanzania wote walioko ugenini...bongo bado maisha si shwali ingawa tunazugwa.TANZANIA aka MAPANKI...it's Me

    ReplyDelete
  4. Tunangojea kwa hamu kumsikia Kaka Liongo kwenye Duetshe Welle (sp)!

    ReplyDelete
  5. Kati ya watangazaji ninao wazimia sana hapa Bongo basi ni Abuu!KIna mengi ya kumsikia

    ReplyDelete
  6. Hongera Baba Badru "Mtoto wa Ilala".Tunangojea muungurumo huo toka Ujeremani.

    ReplyDelete
  7. Kwa kweli huyu jamaa ni mtangazaji bomba kinoma, cha ajabu nikuwa alikuwa redio uhuru of all the radios in Bongo

    ReplyDelete
  8. Big up to you Abuu! hakuna anaetilia shaka kipaji chako kaka, wengi wetu umetufikisha hapa tulipo. Kila la heri ndani ya DW.

    ReplyDelete
  9. Liongo naona vitu vyako mzee. Naona mnatengeneza timu europe na macharanga

    ReplyDelete
  10. Abuu, ukiwa kwa mama Merkel, usisahau kutushushia vipande kama vya "Nalala kwa Tabu" wa Sikinde Ngoma ya Ukae.

    ReplyDelete
  11. Bila shaka kaka Abuu utaendelea kutumia yale maneno yako yanayoleta burudani ktk lugha ya Kiswahili. 'kujivinjari', 'kujiwinda','mahasimu','mustakabali' n.k Tunashukuru sana ulimfundisha Kitenge hayo maneno wakati unaondoka Radio One. Big up Abuu, Mungu akujalie huko uendako.

    ReplyDelete
  12. Good luck Abuu, endeleza kazi nzuri huko na peperusha bendera ya nchi yako.

    ReplyDelete
  13. We pimbi Jack Pemba umeona comments hizi hapa? Huyu jamaa ni maarufu kukushinda wewe lakini hakuna hata comment moja aliyoandikiwa matusi. Kaa chini na ufikiri ni kwanini badala ya kulialia eti Wabongo wanachuki na watu waliofanikiwa.

    ReplyDelete
  14. Jamani kashfa za nini? It's a free world i'm sure Jack was exercising his rights!! There's no point of name calling!!

    Nb:its my first time to read this site, i'm surprise with the above comment.

    ReplyDelete
  15. ndugu, do you mean you are surprised?? kizungu si lazima.

    ReplyDelete
  16. hongera kaka Liongo ninakukubali mzee turushie macharanga na vibande vyote vikali ulivyoondoka navyo, nakuaminia mzee hongerrraaaaa Huraaahhhhhh!!

    ReplyDelete
  17. Damn Michuzi u ugly.Kumbe huna mvuto hivyo daaaah lakini ndo hivyo bwana mitazamo tofauti lakini daaa nilikuona live juzi Rose Garden nikasema whaaaaaaaaaaaaaaaaaaat jitunze tunze una blog sasa kwa hiyo umaarufu uendane na appearance kidogo

    ReplyDelete
  18. mishi!

    mai waifu wangu kafurahi kweli kusikia hayo maneno. hahahaha!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...