bei ya mafuta jana kama inavyoonekana kwenye sheli hii ya engen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mtakoma zaidi kama Bush na washirika wake wakiwawekea vikwazo au wakitaka kuwavamia Iran. Bei itapanda zaidi ya hapo!!

    Bonge la dili kwa wauzaji wa Mafuta. Bonge la Matatizo kwa watumiaji wa Mafuta.

    ReplyDelete
  2. Michuzi shell na Engen kuna tofauti gani? Mbona zote ni Company za mafuta.

    ReplyDelete
  3. Kweli kabisa. Shell ni kampuni ya mafuta, na Engen ni kampuni ya mafuta pia. Ulichosema(Michuzi) ni sawa na kusema kiwanda cha pepsi, ya coca-cola. Ungesema kituo cha mafuta cha Engen.

    ReplyDelete
  4. Michuzi unatuchanganya sasa, tena unahitaji kumuona mzee Kibao wa baraza la kiswahili ili akupe course!!

    ReplyDelete
  5. sas wewe anony uliyeng'ang'ana kumkosoa michuzi huku ukiuliza maswali na kujijibu una matatizo gani? Kama umeweza kuandika anavyopaswa kusema maana yake ulielewa lugha aliyotumia. Sasa maswali yaso kichwa wala miguu ya nini?

    ReplyDelete
  6. UK bei ya mafuta imekuwa wastani wa 90p-95-97p kwa lita (almost £1)... bei hiyo ni sawa na wastani wa TSH 1800 na 2000 kwa lita. (nakadiria kwamba £1=Tsh2000)

    pamoja na kwamba bei hiyo bado ni ya chini, ngoma ni kwamba kwa mtanzania wa kawaida kupata hiyo 90p (Tsh 1800) ni patashika tosha. wenzetu UK hiyo 90p ni rahisi zaidi kuipata.

    wataalam wa uchumi wanaweza kufafanua zaidi.

    ReplyDelete
  7. Anony. wa 2:09pm hiyo 90p sio rahisi kuipata kama unavyo sema wewe, Katika maswala ya kiuchumi hiyo pesa kuna jasho linatoka ili uweze kuipata hivyo basi kila siku hatuwezi kufikiri ni raisi kupata pale tunapojua jasho na nguvu zetu zimetoka. UK hakuna mtu yoyote atakaye kupa hata penny labda ufanye kazi au ukaibe.

    Mafuta yanauzwa kutokana na soko la dunia na kutokana na bei ambayo muuzaji alinunua kwa jumla ila unakuta hapo Bongo makampuni mengi yana wauzieni bei ghari ili wapate faida kwa kuwa nyonya nyie ata kama wamenunua bei rahisi.

    Mwisho, Mafuta mengi yanayo patikana bongo ni yale yanayo haribu engine za magari yenu na mengine utakuta wamechanganya na mafuta mengine na wanawauzieni nyie ili wapate faida ya haraka haraka na baada ya muda engine za magari yenu yana haribika.

    ReplyDelete
  8. mimi ni yule wa 2:09pm. katika kuandika mawazo yangu hapo juu sijategemea cha bure.. (tafadhali soma tena hapo juu) ninachozungumzia ni unafuu wa malipo kutokana na thamani ya fedha. Ninachosema ni kwamba, hata kama bei ya mafuta bongo maskani ni ya chini, bado watu tunasotea kuimudu, ikizingatiwa kwamba wataalam wanatuambia kuwa pato la wastani la mtanzania wa kawaida ni chini ya dola moja kwa siku kwa mtu. na matumizi ndiyo hayo lita moja ya mafuta inauzwa kwa zaidi ya dola moja.

    ReplyDelete
  9. ok nimekuelewa.

    ReplyDelete
  10. Poleni! kwa us tunavyoelekea kwenye mid uchaguzi mafuta yameshuka karibu $2 kwa gallon, hatununui kwa lita. 1 gallon ni karibu 5 lita. BUSH kaibe zaidi mafuta mzee tunakuaminia.

    ReplyDelete
  11. Ndio maana kila siku plan zake ni vita hili aibe awaletee. Hila kuna siku atakanyaga pabaya na ndio utakuwa mwisho. za mwizi ni alobaini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...