Home
Unlabelled
manchesta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Habukuwi wala nini anabeba box muongo kwanza vyuo ndio vinafunguliwa yeye bado yuko huko inakuwaje?rudi baba box zinakusubiri
ReplyDeleteAme graduate mwaka jana huyo
ReplyDeleteFor your information new semister start end of september....check your facts before you jump in to matters...
ReplyDeletekwanza ina muhusu nini huyo kusema abukui na ana beba boksi? chochote afanyalo linamhusu yeye na familia yake. Hacha umbea we anony. wa kwanza. Hacheni roho za korosho.
ReplyDeleteKasahau kukuletea jersey mpya ya Liverpool
ReplyDeleteMICHUZI MIMI NIKO HAPA MANCH. BWANA,
ReplyDeleteHIVI HAWA WATU WANAKUJA KUKUAMBIA WANABUKUA HUKU AU WANABAMIZA?.......UPS!
Dogo edgar naona siku hizi unazinga la shavu mzee haina ubaya kaka kula kuku playboy...
ReplyDeleteMi sijaelewa ina maana jamaa kenchi zimepanda hivyo kwa sababu ya kubeba mabox? mi nilivyosikia Manchester nikajua ile camp ya masela pale Temeke
ReplyDeletemajungu mpaka lini?
ReplyDeleteMichuzi eeh kwa mara nyingine tena jezi huendana jinzi au kaptula au basi hata treki basi, sio pantaloo, huelewi tu???!! ndio blogu yako, nini, mi nakutonya kiushkaji tu uko mjini miaka mingi Kaka!!!
ReplyDeletewe hapo juu una kisa na michuzi hio unayoiita pantaloo mbona ni kama jeans(cadet) ambayo ni poa tu na hio jezi.
ReplyDelete