mla vichwa bingwa bitebo akila kichwa cha thabiti mtoto wa ilala wa twanga intaneshno jana migo migo karibu na lango la jiji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kwa kweli afrika tupo nyuma kabisa jamaa anachezea makemikali na kichwa cha jamaa bila ata ya kuvaa glovu. Ndo maana afya ni mgogolo hauwezi kujuia ana maladhi gani jamaa au hizo kemikali zitaleta madhala gani bila ya kuvaa glovu. Ni ushauri tu.

    ReplyDelete
  2. nadhani ushauri wako usiwe kwa Afrika tu. Nimeona hayo mambo hata US.

    ReplyDelete
  3. Unashangaa vipi huyo anayempaka mwenzio makemikali bila kuvaa gloves bila kushangaa huyo anayekubali kuwekewa hizo kemikali kichwani kwake kabisa?Nani ana hatari zaidi hapo?
    Hapa Marekani dawa zote za relaxer,curl nk huwa hazikosi kwenye orodha ya bodi ya madawa kwamba hazifai kwa matumizi ya binadamu.

    ReplyDelete
  4. Jamani, hamshangai watu kufanya NGONO bila CONDOM, ati mnamshangaa Bitebo.Haiingii akilini!!

    ReplyDelete
  5. jamani anony wa kwanza kanichekesha na afya mgogolo badala ya MGOGORO,maladhi badala ya MARADHI na madhala badala ya MADHARA.....ndo yaleyale ya NYELELE LOAD KWENYE LOUNDI ABOUT....Badala ya Nyerere Road kwenye Round about......hey man stress free,ni KUFURAHI

    ReplyDelete
  6. hahahahaha anonymous.7:40 aise umenivunja mbavu sana u r on the spot! nice one

    ReplyDelete
  7. amewafuraisha kwa r zake au ata kwa pointi zake? mbona hamsemi kwa pointi! wabongo bwana tabu tupu. Ujumbe umefika.

    ReplyDelete
  8. picha inachafua roho!!!!!!!!!!!!!! ghghghghghgggggghhhhhh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...