Home
Unlabelled
newala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hao wadau inabidi waelimishwe kuhusu dresscode, hapo sidhani kama ilikuwa ni sehemu ya kuvaa mashati yasiochomekewa na jeans zilizotepeta!
ReplyDeleteAcha nidhamu ya Uoga we fala. It's America everybody has freedom to do whatever.Unajua huyo JK alivaa nini hebu acha kulopoka mwana.
ReplyDeleteNakubaliana na anony 6:33 PM. Hata kama America kuna freedom huwezi kwenda kwenye tafrija na Bush kwenye White House lawn huku umevaa jeans za akina G Unit! Kila kitu kina wakati wake, sio tunaiga iga bila kufikiria.
ReplyDeleteTena iwe ni elimu ya nyakati la sivyo wanaweza wakatoka kapa kwani kuwa Amerika hakujawasaidia.Michuzi hilo pozi linaitwaje vile....
ReplyDeleteNyie Mabush Stars! Haikua Ikulu, Haikua official meeting, ilikuwa casual meeting just a gathering.Just few people talk. So hata watu wanatakiwa wavae casual. Hivi hamjamuona Bush akiwa Texas. Anavaa Jeans, Shati la draft, Kofia ya Cowboys.Na anendesha mkutano. Msiwe mnalopoka kama mko huko kwenu milimani. Ngoja Mirosti aweke picha labda mtaelewa. Hata JK alikula simple. Anyway next time tutamleta huko Madongo kupolomoka ili wazee mkaunguze paycheki zenu then baada ya masaa kadhaa unasema "oooh shit, I forgot!! I was supposed to send money back home today for my young brother school fees, anyway I will wait till another pay check" Guess what next two week som'else happen.Anyway that's not the case, we were casually gathering.We were casually having funny.!!
ReplyDeleteduh.."having funny" naona kikristo kimekushidwa huko huko kwao kwa kweli u can take a monkey out the jungle but u cant take the jungle out the monkey...
ReplyDeleteduh.."having funny" naona kikristo kimekushidwa huko huko kwao kwa kweli u can take a monkey out the jungle but u cant take the jungle out the monkey...
ReplyDeletehaving funny...?hahahaha.pole kaka.uje nikupe tution bila malipo.
ReplyDeletekama ni guess vile alieandika hiyo they r havn 'funny' lkn nawaonea huruma wa2 wazima.ukute hapo waisha piga miaka kama saba ughaibuni alafu pyeupe!kujua kuiga visivyowahusu 2.fanyeni mkamilishe michango watu wakazike afrika. mafwala nyinyi.$2000p/w?au porojo ya zile malaya.
ReplyDeleteGuys guys..Growup!!!
ReplyDeleteTuongelee mambo ya maana na siyo nani kavaa nini au kala nini.. Ndugu zetu wapo kizani huko nyumbani...tuongelee jinsi ya kulitatua hilo tatizo na siyo mambo ya kitoto..Dooh!