kocha wa taifa marcio maximo akionesha masta plani yake ya kufufua soka bongo, akitilia mkazo timu za vijana wa mashuleni na wale walio mitaani, pamoja na kufundisha makoch vijana wataokochi vijana wenzao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Masta plani ina wezekani kuwapo ila matokeo yake yakawa mabaya. Kazi kubwa ina itajika sio maneno matupu.

    ReplyDelete
  2. Bwana anony hapo juu, lazima uelewe huyu bwana huko kwao Brazil na kwengineo maendeleo ya soka na nyanja nyingine yamefikiwa kutoka na master plans. Wabongo inabidi tuige haya na kuachana na mambo ya kutegemea bahati, kuloga, inshallah, misaada etc.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...