mwaka mzima ni sama bongo. hapa ni bustani ya mnazi mmoja gaden

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hapo ni mpambano mkali kushoto ni za mchina na kulia ni za Bakhresa, wote hao wana kazi ya kutuchangisha mia mia zetu kwenye ice-cream zao (ashkrim) Michuzi we unapenda zipi za Mchina au za Baaresa? (BAKHRESA)

    ReplyDelete
  2. za baaresa. mbona ulipotea rhxosqa? au bize na maboksi huko ughaibuni? mwendo mdundo ndugu yangu, wache waseme; kazi ni kazi, mradi mkono uende kinywani...

    ReplyDelete
  3. Yes, Mnazi Mmoja! Bado wanakuwa na open shows pale? Lakini kuna wakati ma homeless ombaomba walipavamia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...