Home
Unlabelled
shada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du hawa jamaa wa kati wamefanana kama ngao ya kidonge na ngao ya maji
ReplyDeleteRhxoqsa.. hao vijana wawili ni mapacha, nimefurahi kuwaona tena nilisoma nao shule ya msingi wana kipaji kizuri sana cha kuimba,mungu awaongezee.
ReplyDeleteHawa jamaa mapacha, nakumbuka mmoja wao aliimba vizuri sana wakati tukitafuta pop idol wa TZ
ReplyDeletehallo mambo vipi ndugu yangu... unajua wabongo tuache mambo ya ajabu. yaani ukiona watu wana pendeza unaanza umesoma nao au naye....sasa kama kweli umesoma nao jitambulishe na shule gani uliosoma nao.
ReplyDeleteHuyu dada Karola Kinasha ana sauti nzuri sana na huyo Atanasi ni mumewe watu poa hawa...walikuwa wanapiga pale nyuma ya oyster bay hotel, je wanapiga wapi siku hizi?
ReplyDeleteahh twins, hawa jamaa wamefanana kama mayai. Haya basi mi nimesoma nao Shaaban Robert 1998-2000. Nilikuwa nao kwenye school choir. Pia nilikuwa nao Kanisani, pale St. Albans Anglican Church, Posta mpya. nakumbuka tulivyokuwa SRSS tulipiga "Wimbo wa taifa Remix" na kina Fina Mango, hivi ule mlupu bado upo?
ReplyDelete