wanachama wa klabu ya singasinga pamoja na mbunge wa temeke abbas mtemvu (kati, nyuma ya nyeusi) wakipozi na watoto yatima siku walipopeleka misaada kituo cha kulelea yatima kurasini, dar. watoto wote hao uwaonao hawana baba wala mama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ninapotegemea watu watoe maoni mengi huwa nabakia solemba.Masuala kama haya ya yatima ni masuala halisi(real) ya jamii zetu.Watanzania wote tulio ndani na nje ya Tanzania,wenye uwezo japo wa kutoa senti kidogo kusaidia yatima kama hawa hatuna budi kufanya hivyo.Kama hatuwezi kusaidia kifedha basi tusaidie japo kutoa maoni au mapendekezo yetu juu ya nini tunaweza kufanya.Kwa mfano tukifanya tamasha moja hapa Marekani ya kaskazini,tukaita baadhi ya wanamuziki wetu maarufu,tunaweza kuchangisha hela nzuri tu za kusaidia yatima.Tusisahau tulipotoka!

    ReplyDelete
  2. I hear you Msangi, how do we go about to organize such a thing? Do we involve our Tanzanian Embassy or what...You have a very good idea. Let us do something, umoja ni nguvu......I bet you there will be a lot willing to participate....

    ReplyDelete
  3. Michuzi thanks for putting this picture, Jeff to bring an excellent idea, and Anoy to share your thoughts.

    This is so touchy....maybe with help of Michuzi we can do something even to contribute donation such as used clothes, money, books ....but we should not use the embassy at all.... I am sorry to say that, and I might be wrong. Please Issamichuzi blog readers share your IDEAS.

    Thanks again Michuzi

    ReplyDelete
  4. Gary and anyonymous above.Thanks for your understanding and input.I believe we can do something,something big and positive.Michuzi,what do you think?Can we first get the statistics of how many licenced orpharnage homes are there in Tanzania now?

    ReplyDelete
  5. Jamani mlio nje ya nchi yenu naomba mchunguze kwanza hivi vikundi vinavyotoa msaada maana vimekuwa vingi mno...!!! na wengi wao wanafanya hivyo ili wapate misaada kwa ajili yao wenyewe.. ninavyoelewa vitabu vya dini vinasema unaposaidia sio lazima utangaze sasa wengine kila siku kwenye TV's mara magazeti kwa tukio hilo hilo everyday. Jamani tuna MATAPELI kibao bongo.. CHUNGUZENI wanataka misaada through mayatima... EEEHHHH MUNGU TUSAIDIE WAJA WAKO.

    ReplyDelete
  6. KWELI KABISA USEMAYO KAKA/DADA YANGU ULOTOA MAONI HAPO JUU.... TENA HAO SINGASINGA NDIO KABISAAAAA SIWAAMINI MAANA NAWAFAHAMU WANA MASKANI YAO PALE RAILWAY CLUB GEREZANI NA WENGI WAO NI MATAPELI WA MIAKA YA 47. WATCH OUT GUYS SAIDIENI SANA NCHI YENU ILA TAFUTENI VIKUNDI VINAVYOAMINIKA.

    ReplyDelete
  7. yap. its true guys we have to be very careful its better to send our assistance straight to the orphan centres rather than using this matapelis in Tanzania.... watu wanaacha kazi kwa ajili ya kuishi kutumia misaada ya mayatima.. Eeee mungu waadhibu wote wafanyayo hay.

    ReplyDelete
  8. Ni kweli hata mie nawafahamu hao makao yao yapo Railway Club Gerezani siwaamini amini saaaanaaaa nahisi wana kitu wanataka kwa manufaa yao.!!! chunguzeni

    ReplyDelete
  9. Mimi Jamani naomba niulize na kutoa wazo at the same time. Hivi kwa vile hakuna watu au institutions zinazoaminika kama mnavyosema hapo juu, wouldn't it have been a better idea to adopt these children instead? Nataka kufahamu sheria na utaratibu wa adoption Tanzania. How could I go about adopting one of these kids?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...