chifu songea wa wangoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ana undugu na Prof. Simon mbilinyi nini, yule alokuwa mbunge wa Peramiho?

    ReplyDelete
  2. Huyu alikuwa na kila sifa ya uchifu na hata wajihi na sura yake ni za kichifu.

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  3. Michuzi, ilikuwa mwaka gani hapa? Najaribu kupata picha ya chifu akiwa kwenye suti ya kizungu na tai ya mzee clinton nafikiri atatoka bomba kichizi! Halafu ni kama amezibana lipsi zake kimapozi siyo? Mtabana ngenge!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...