ukitumwa newala kukava kikao cha umoja wa mataifa inabidi suluba zote uvumilie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Duh! mzee naona mkao wa kula hapo. Kazi njema!

    ReplyDelete
  2. WABONGO UJANJA NYUMBANI TU,MMEZIDI KUWA NYUMANYUMA.MBONA SIONI HATA MDHUNGU MMOJA KAKAA CHINI KAMA NYIE!!!

    ReplyDelete
  3. KTK WOTE NAONA MSHIRIKA WETU MICHUZI ANA SUTI YA UHAKIKA KULIKO WOTE, ANGALIA INAVYOMEREMETA

    ReplyDelete
  4. Hawa wote ni wapigapicha wa Bongo? Kama kweli basi serikali ya CCM kiboko! Manake Rais anampiga picha wake, na kila gazeti la serikali limepeleka wapiga picha wao kibao. Acha Mawaziri katika msafara!!! Huku nyumbani hatuna Umeme for hrs.

    ReplyDelete
  5. usisahau pia na mawaziri wana wapiga picha wao pia.

    ReplyDelete
  6. Bora wenzangu mmeona hilo, kamwe hatutaendelea maana vitu vya muhimu havipewi priority, kazi kutumia hela za serikali kipumbavu tu....fuck!

    ReplyDelete
  7. Duh Bro kama mmefumwa sehemu halafu mnaambia tulieni ,halafu umesahau sheria ya Suti unatakiwa usikae chini, Poa kazi njema !

    ReplyDelete
  8. Namuona Freddy Maro hapo hahahaha!! Haya bwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...