nasikia tamasha la 25 la sanaa bagamoyo lililoisha jana lilifana kiasi chake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Shikilia karatasi hilo lisipeperuke

    ReplyDelete
  2. Huko Bagamoyo College wanagombania hao wazungu.

    ReplyDelete
  3. hakuna penzi hapo kinachotafutwa ni makaratasi tu jamani wabongo kwa kupenda miteremko.ndio maana mnaoa mamama nakubwa kama friji hapa USA na EUrope mpate makaratasi

    ReplyDelete
  4. Si kubwa kama friji tu! Wanakuwa na sura mbaya kweli kweli kama vinyago. Wazungu wenzao hawawataki.

    ReplyDelete
  5. Unajua tofauti ya wanawake wa kimarekani na wa kiafrica, ni kwamba wanawake wa kimarekani wana ku-motivate mwanaume kimapenzi, that's why waafrika wengi hawa-date waafrika wenzao. Muhimu ni motivation, sio unakuwa na mtu kama vile wote mabubu. Pia makaratasi muhimu, hasa hapa U.S.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...