hii ni timu ya taifa ya bara chini ya mzirai (shoto) na chaaaaz bonifas mkwasa (kulia) enzi zileee...
mwenye majina na atusaidie

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. yaah, naikumbuka hii ni timu iliyoshinda kombe la castle Arusha october ya mwaka 2000. baadhi ya wachezaji waliokuwepo ni kama Pawasa, Ntezi, Manyika, Saidi Maulidi, Emmanuel Gabriel, Yussuf Macho, Dua Saidi, Edibily Lunyamila,Salvatory Edward (ambaye kwenye final alifunga goli moja makini sana) wengine waliokuwepo ni Mtwa Kihwelo na Joseph Kaniki. hao ni baadhi tu in random order.

    ReplyDelete
  2. JOHN Mwansasu naye alikuwepo.

    ReplyDelete
  3. juu namwona coach mziray, mwansasu,mecky maxime,bonny pawasa,nteze john lungu,waziri mahadhi,anayefuata sijui ni kocha wa makipa au lah!then mkwasa.
    chini namwona peter manyika,said maulidi,renatus njohole,salvatory edward,joseph kaniki na yusuph macho aka muso.

    ReplyDelete
  4. nimefurahi kukumbuka hiyo list. nafikiri hapo walikuwa kirumba mwanza

    ReplyDelete
  5. Ondoa takataka hao, hawana historia yoyote bongo kumamazao funza wajubwa hao. Tuwekee kina Peter Tino hapo.

    ReplyDelete
  6. kutoka kushoto waliosimama.. mziray(KOCHA)john mwansasu(6),mecky maxime(10),boniface pawasa(baba ubaya)(7),nteze john(LUNGU)(15),waziri mahadhi(MANDIETA),...mkwasa(MASTER)
    waliochuchumaa kutoka kushoto
    peter manyika(1),said maulid(SMG),alphonce modest(12),salvatory edward(MTAALAMU),joseph kaniki(golota)(8)yusuf macho rwenda(MUSSO)(5)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...