mnaonaje tukimwombea msamaha babu seya na wanawe?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Unataka tuwaombee msamaha watu wanaonajisi watoto? Hata wakifia huko jela ni shauri yao. Kama tuna njia yoyote ya kusaidia basi ni kuwasaidia hao vijana ambao walitendewa hivyo vitendo na wala sio hawa wahalifu.

    Labda watu wengine wenye sifa na nafasi kama zao watajifunza kwamba tabia ya kunajisi na kulawiti watoto ni mbaya.

    ReplyDelete
  2. Pengine sielewi una maana gani au kwa nini asamehewe? Kwanza, hii kazi ya korti. Pili, ni kazi ya Rais kusamehe mhalifu akishahukumiwa kifungo. Kwa nini tusimwombee msamaha Kasusura (anayekabiliwa na kesi ya mamilioni ya mapesa ya benki) au mhalifu yeyote yule apewe huo msamaha?

    ReplyDelete
  3. hapo juu umegonga! Msamaha! Kwa nini tusimwombee msamaha Kasusura?

    ReplyDelete
  4. Fikra gani hizi za kutetea wahalifu: wezi, wauaji, vibaka na walawiti na wengine wote wenye makosa ya jinai?

    ReplyDelete
  5. JAMANI TUONENI UWAZI WA MAMBO.

    HUYU MTU ALIJIINGIZA KWENYE SIASA YA TANZANIA WAKATI SIO MTANZANIA(KAMA WENGINE ILI WALE TU...HIYO SAWA).
    KIBAYA YEYE ALIJIINGIZA KWENYE CHAMA AMBACHO NI KINYUME NA CCM, TENA KWA KASI SANA, NA KUWATOMBEA WAKE ZAO(NADHANI SIO YEYE PEKEE YAKE KAFANYA HIKO KITENDO, PILI: WAKE ZAO MASHANGINGI WALIKUWA WANAMTONGOZA WENYEWE! KAMA KAWAIDA YAO TOKEA AWALI INGAWA ANA MKE, NAFIKIRI MNAJUA HIKO KITU MNAOMJUA NGUZA VIKING SIO?).

    SASA WAUMEZAO(WANACCM), WATANZANIA WALIOKUWA NA CHUKI YA WAZAIRE WANAOJIDAI, KUWAZIDI KIDOGO KIDOGO TU AU WANAWAKE WAZURI AU WANAOWACHUKULIA, WOTE WAKAUNGANA KUCHEZA HIYO "DEAL" WAKATI ULE NA CHAMA CHA WENYE NCHI YAO WAKAMFUNGA YEYE NA WATOTO WAKE!

    SASA JAMANI INATOSHA MMESHARUDI VIWANJANI, SI MUWAACHIE NA KUWARUDISHA KWAO ZAIRE KAMA NCHI NYINGINE ZINAVYOFANYA INGAWA HIYO KESI NI YA MABOX?

    WACHENI MAMBO YA KINOMANOMA HAPA CCM BWANA MBONA MAUMBA ALIKUWA ANATOMBA NA KUWAFIRA WADOGO ZETU NA ALIISHIA WAPI? AU YEYE NI MMBONGO?
    KUNA WAZEE WANGAPI WA KIISLAMU KUTWA KUCHA WANAKALIA KULAWATI NA KUNAJISI WATOATO WAKIKE NA KIUME HUKU HUKU KILA LEO? HATA KAZI HAWATAKI KUFANYA WANADAI WANASWALI, UKITHUBUTU KUSEMA TU BASI UNAFUNGWA WEWE SABABU NI WAZEE WAKO NA WATU WAMUNGU.

    WATANZANIA TUNAPATA AIBU SANA KWA HIYO KESI YA NGUZA! EBU IANGALIENI VIZURI JAMANI...EEEH!!


    KWANZA UNDER AGE ATAKUWAJE NA KESI YA UNDER AGE MWENZIYE?

    WATOENI NA MUWAFUKUZE MOJA KWA MOJA NA KUWATAIFISHA NA KUWAPIGA MARUFUKU WASIKANYAGE TANZANIA MILELE WAO NA VIZAZI VYAO!!!

    VINGINEVYO NI UNFAIR JAMANI!

    ReplyDelete
  6. Ni wivu wawabongo na mzaire kuingia siasa ya Tanzania tu.

    ReplyDelete
  7. nchi nyingi kama ukipatikana na kosa la jinai, ukahukumiwa, utamaliza hukumu yako. Mwisho wa kifungo, unafukuzwa!

    Hivi hiyo ni keasi ya wivu tu?

    ReplyDelete
  8. Wangeweza kuachiwa lakini walikula ya mbuzi na wakaota mapembe.Mbona Ismail Aden Rage kasamehewa na kupata kazi nono tu Moro United?Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo "convicted people with criminal records" anapata kazi ya nguvu namna hiyo.

    ReplyDelete
  9. mzee michuzi asante kwa kuanzisha mada hii,hivi hata kama ingekua nikweli ,japo wengi tunaelewa ni uonevu na wivu wetu wakibongo,ni dhambi gani au dini gani hairuhusu au kutoa msamaha?
    ni aibu mtoto wa chini ya miaka kumi nanane kufungwa maisha ,hii uliiona wapi dunia hii??hata serikali za ki dikteta hazifanyi hivyo.
    kuwa mzaire isiwe sababu ya kumnyanyasa,maana hata humu wengi mnaishi nje ya Tanzania na ninaimani haki zetu tunazipata.ni aibu kuona mtu kama nguza anafungwa pamoja na familia nzima kisa kachangia malaya mtu mkubwa serikalini.
    kuna criminal wengi zaidi yake na wanakula kuku mtaani,wacha huyo wakusingiziwa.
    naungana nawasamalia wema kumuombea msamaha ingawa anasingiziwa.

    ReplyDelete
  10. aksante anonymous hapo juu,naungana na ukweli wako wa uonevu kisa ku-share malaya bora hata angekuwa mke yani ni uonevu wa hali ya juu na naungana na wasamaria kuwaombea msamaha ingawa wamesingiziwa

    ReplyDelete
  11. leooo nataka nitoke na mpenzi wangu Seya!!!!!jamani mwanikumbusha mbali nyie,hawa waru walikuwa musical giniuses jamani tuwaombee watoke

    ReplyDelete
  12. Hee! anony wa 03:40,
    Umetufumbua mabo ya ukweli wenyewe kwani hata sisi majirani zake Nguza tulikuwa tunaona hizo chuki binafsi baina yeye na watanzania, lakini tulikuwa hatujui ukweli wa mambo.
    Jamani tunatia aibu watanzania WAACHIENI na MUWAFUKUZE na MUWATAIFISHE MALI badala yake, kama anony alivyosema.
    Huu ni zaidi ya UDIKTETA! Halafu hamuoni hata haya, yaani YEYE NA WATOTO WAKE WATATU! Duuuh mmeshindwa kumsingizia mke waketu sababu sio lesbia.
    WAACHINI HAO WATOTO JAMANI,
    MNAMCHUKIA YA BABA NDIO WAO PIA WALIPE?
    THE WORLD IS WATCHING!!!!!

    ReplyDelete
  13. Tulia Bro hapo juu nikupe shavu! Huyo limbukeni kaishiwa kisera. Namkumbusha matukio haya kadhaa. Miezi kadhaa iliyopita padri Masawe wa Kibongo alikuhukumiwa i kwa kulawiti mtoto sisi hatusema. Kabla ya hapo kuna mChungaji hukoo USA alikili kuwa amenajisi watoto tena wa kiume kwa muda wake wote ambao alitumikia kanisa la dayosisi ya Philadelphia. Hii inatia mashaka sanakuwa Mapadri wengi duniani ndio tabia zao nahatujui rafiki zetu wangapi wameathirika nahilo. Siri mnayo wenyewe nazile Sunday School zenu. Kwa hiyo ndugu acha mambo yako ya Ustireotype hapa mbona waislamuhatusemi au hatuwaiti mapadri wote walawitiji kisa hao wawiliwatatu waliogundulika.??? Kuwa kidogo namwisho namalizia kwa swali " Je unakubali kuwa binaadamu hasa mwanaume anaweza kushi mika yake yote bila kufanya mapenzi???? Au maana yake ndio kuwalawiti vijitoto vya kiume!! Mungu ahepushie mbali!! Haya sisi huwa hatusemi!!

    ReplyDelete
  14. Ndugu zangu kama tunaheshimu mahakama zetu basi hata hukumu zake inapaswa tuziheshimu. Kama wameonewa basi wafanye appeal, zaidi ya hapo tunakubali kuwa wana makosa ijapo haiingii akilini mwa mtoa maoni mmoja kuwa Nguza hawezi kufanya ufrauni huo na wanae. Swala lingine nafikiri mtu yeyote aliyekomaa kiakili hatoi maoni yake kwa kuangalia kundi fulani la watu kama walivyofanya wenzetu kwa kuangalia misingi ya dini, huko ni kufilisika kimawazo, kwani hakuna dini inayomtuma mtu kufanya makosa kama ya ufrauni, jifunzeni kuhukumu au kumchambua mtu kwa nafsi yake si kwa kabila, dini, umbile, jinsia, umri wala vingivye iwavyo.
    Tusilete za kuleta Mkristo ni mkristo na mwislamu ni mwislamu tuheshimiane siku zote wandugu.

    ReplyDelete
  15. Hii mada ni nzuri, ndugu zangu acheni udini; toeni maoni yenu yatakayosaidia namna ya kumtoa NGUZA na WANAE jela.
    Mie nasikia kama wengi wetu kuwa hii kesi Nguza kabambikiwa. Basi natoa wito kwa Wabongo wenzangu kama kuna yeyote mwenye kujua ukweli kuhusu hii kesi ajitokeze ili kuwaumbua hao waliomfanyia mwenzao hila kisa kawazidi KAULI THABITI inapokuja kwenye suala la kuongea na WANAWAKE.
    Kesi yote inautata,hata huyo Hakimu na Mwendesha mashitaka wanawaaibisha waalimu wao au sijui ndio nafasi za kupeana, hukumu za mafungu; hata mjinga anashtuka kwani kuna sheria kwa ajiri ya kuwahukumu wenye miaka 18 na kuendelea na pia kuna sheria kwa walio chini ya miaka 18.
    Sio kama natetea wahalifu bali ningependa kuona nchi yangu inaheshimu sheria hivyo kujenga imani ya wananchi. MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI.

    ReplyDelete
  16. TAARIFA: Nguza Viking aka Babu Seya na wanawe wote walishakabidhiwa kwa serikali ya DRC( Zaire) na wamepigwa PI( Prohibited Immigrants)wasikanyage tena ardhi ya Taanzania.Kama watuwa jela au uraiani huko DRC ni suala la serikali ya DRC.

    ReplyDelete
  17. Muheshimiwa hapo juu habari uliyonayo niya kweli? tupe chanzo chako cha habari tukahakiki!! teheteheee!

    ReplyDelete
  18. Waache wasoteni...when you do crime you should do the time...ombeeni wabongo kibao wanaosota majela ya nje...ambao hata serikali imewaasi kabisa

    ReplyDelete
  19. USILOLIJUA LITAKUSUMBUA NYIE WAWILI WA JUU YANGU FUNGENI MIDOMO YENU KAMA HAMNA MNALOLIJUA!!!!!!
    MNAIJUA VIZURI KESI YA NGUZA?
    SASA SHUT UR FUCKING MOUTH UP!!!
    HAMNA HATA HAYA.

    ReplyDelete
  20. Wewe unayeijua kesi ya Nguza mbona hutwambii zaidi ya kunyamazisha wengine. Kama kisa ni mahawara mbona wakti wa utetezi Nguza hakusema hilo ili watu wajue chimbuko la kesi yote? Kama Nguza ndio aliyechukua mahawara sijui wake za watu watoto wake nao wanahusika vipi?

    ReplyDelete
  21. Jiulizeni wenyewe maswali yote hayo.
    Mpaka waganda na wakenya sasa wanatusema kwa udikteta wetu wa wazi wakati sio kawaida yetu.

    ReplyDelete
  22. Yote haya kayataka Salma(1st lady),
    angalieni sasa watoto wanateseka.

    ReplyDelete
  23. Kayataka Salma kivipi???????????????????????????????????????????????????

    ReplyDelete
  24. Wewe hapo juu unabwabwaja tu. Kwani wa-Kenya na wa-ganda ndio nani? Mbona wao wametuzi kwa injustices na corruptions...angalia Museveni kamtia ndani mpinzani wake kisiasa eti alikuwa mlawaiti...

    ReplyDelete
  25. Wote wanaopenda kujadili dini za mapokezi kwangu ni kasumba.Nadhani tusipendelee kuongea vitu vyenye mwanzo mwingine(Mashariki ya mbali).Na kama mnatka kujadili lazima muanze kuhusisha,Utamaduni,asili na kanuni za eneo husika hivi vyote vinaendana.Hapa mada inayoongelewa ni Babu Seya.Sisi wenye dini za asili mnatuweka wapi.We are still believing on the Same allah,God,Yehova,Jah....to us we call him Murungu the creator and destroyer.

    Tuongeleeni masuala ya babu Seya na siyo vinginevyo vya kasumba za mapokezi ya wenzetu.

    ReplyDelete
  26. Hivi Nguza hajawa Mtanzania mpaka leo?
    Naamini watoto ni Watanzania

    ReplyDelete
  27. Anony wa 3:02,
    umuelewe wa juu yako, hata mimi niliisoma hiyo artical east african today.
    wanadai Tazania tulikuwa tunasifika sana kwa justice, lakini siku hizi tumechange sana, wakati tulikuwa number 1 East and central africa kwa tokea enzi ya mababu zetu.
    Hawakusema kuwa wao wako perfect, no.

    ReplyDelete
  28. Hawa Pichani ndio waliolawitiwa au?i need to know ...kama ni waliolawotia nakuomba bwana michuzi uondoe hii picha kwani ni kosa la jinai kumpost picha victims
    unastahili kuwaomba msamaha na fine

    ReplyDelete
  29. Yeyote aliyejigeuza yeye ni Mungu mwenye nguvu na uwezo wa kuwafunga maisha Nguza pamoja na wanawe wote eti kwa kosa la 'kunajisi' na 'kulawiti' vijana wadogo wa mashuleni,nasema adhabu hiyo ilikuwa ya kinyama iliyokosa hata chembe ya ustaarabu na adabu mbele ya Mwenyezi Mungu ambaye siku zote akuwa tayari kutusamehe kwa makosa mengi tuliyotenda tukiwa na udhaifu wa kibinadamu,na makosa mengine yakiwa mabaya zaidi kuliko hata hayo ya wakina Nguza.Aliye sababisha kina Nguza wafungwe maisha adhabu yake ataipata hapa hapa duniani na atajuta kuzaliwa.Usicheze na roho ya binadamu.Yote haya hivi karibuni yatakuja umbuliwa hadharani na wahusika wote watajulikana kwa machafu waliyokuwa wakiyafanya katika nafasi zao za uongozi wakidhani kwamba watanzania ni vipofu hawaoni wayatendayo!Mungu ni Mkubwa.Allah Akbar!Na asiye tenda dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...