chipukizi walikuwepo kucheza gwaride wakati wa mapumziko kwenye michuano ya soka ya kombe la nyerere kap jimkana leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Aka ka-chipukizi ka mbele mkono wa kulia, ni ka-kamanda kao nini?

    ReplyDelete
  2. Bora wameachana na zile long sleeves za kijani. Na joto lile tulipata shida!

    ReplyDelete
  3. Sitaisahau ile saluti ya mgeuko!

    ReplyDelete
  4. Nasikia ukiwa Chipukizi unaishia kuwa Mgambo na ukiwa Scout unaishia kuwa Polisi, Magereza Au Jeshini hivi hii ni kweli jamani? hehh heh eh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...