Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI WALTER!!! haaaaaaa MUDI NAONA UMETULIA HAPO NA AMUWANI.

    ReplyDelete
  2. swali kwa aliye udhuria mazishi au kaka michuzi, hivi mwili wa vonetha uliweza kufunuliwa, maana kwa taarifa nilizo soma kwenye vyombo vya habari ni kuwa uliungua vibaya sana..
    mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi na kwa wale waliofanya kitengo hiki na wape nguvu na imani ya kiuwanadam ili waweze kujitokeza katika vyombo vya sheria ili wazazi na ndungu wamarehemu hawa wajue kisa ni nini hasa cha watoto wao kuuliwa kinyama nammna hivyo. kwani kwa sasa wanajitahidi kukubaliana na matokeo ila rohono bado wanamaswali mengi sana...mungu wabariki waja wako na uzipokee roho za marehemu na kuziweka kwenye pumziko la milele

    ReplyDelete
  3. Tungepata Kisa cha haya mauaji ingekuwa vema sana

    ReplyDelete
  4. kaka/dada hapo juu utapataje kisa cha mauaji wakati viongozi wetu walikuwa huku na walikaa kimya na kuishia kuamini eti ni Mipango ya mungu, eti sijui Mungu alitoa mungu ametwaa na wengine wana amini ni siku zake zilikuwa zimefika? Kikwete alikuwa huku ni mtu mzito kutoka Bongo angeweza kuhoji hili suala lakini hakusubutu hata kuongerea hii issue hata kwa watanzania aliokutana nao na matokeo yake walimtuma mtoto wa sokoine anaye fanya kazi ubalozini ndiyo ashughurikie, wakijua wazi huyo sokoine hawezi hata kuonana na sargent wa polisi pale detroit. Kikwete ameshinda anaongea na bush akaishia kumwomba vyandarua na kuongerea mambo ya ndani ya kenya...baadaye kwenda kutalii miji mbalimbali akipose katika mapicha na kina michuzi, kupiga story na mcheza basket wa Uconn, utafikiri ndivyo vilivyo waleta marekani.

    ReplyDelete
  5. INGESAIDIA ZAIDI KAMA VIONGOZI WETU WALIKUWA MAREKANI WANEONYESHA MOYO WA HURUMA NA UBINADAMU KIKWETE ALIKUWA HAPA LAKINI WALA HAKUWA NA TIME. KAZI YAKE ILIKUWA KUONEKANA NA KINA MICHUZI NA MAMBO AMBAYO SI YA MSINGI NA KUTEMBELEA WAISLAMU KULA FUTARI. UNAONA MARAIS WA WENZETU KAMA AMEUWAWA MMAREKANI AU MWINGEREZA WAKUU WAO WA SERIKALI WANAINGILIA KATI NA SEREKALI YA NCHI WALIOUWAWA KUULIZIA KISA NA SABABU YA KIFO CHA RAIA WAO NA HII HUWA INASAIDIA SANA. LAKINI NI AIBU SANA ALIVYOFANYA KIKWETE NA ALIKUWA MAREKANI WALIPOUWAWA WALTER NA VONETHA. HAYA NA HAPA DAR KARIBU KUTAKUWA NA MSIBA MWINGINE SHENA SINARA ANATAKA KUJIUA MWENYEWE KWA SABABU PETER RUPIA AMEMCHEZEA TU KAMTOMBA SANA NA KUMDANGANYA ATAMUOA HALAFU KAMDAMPU. NA SASA ANAMTISHIA MAISHA YAKE. KABLA PETER HAJAFANYA MAMBO YAKE KAMA ALIVYOMUUWA MFANYAKAZI WA SHAMBANI KWAO MIAKA ILIYOPITA. SASA INASEMEKANA KWAKUWA SHENA AMETOA SIRI ZAKE, AMEMTISHIA KUMUUA NDIO MAANA KABLA HAJAULIWA SHENA SINARE AMETAKA KUJIUA MWENYEWE. HAYA MAMBO HAYA NI YA KUSIKITISHA. MAANA WATU KAMA HAWA WOTE WANAFANYA MAMBO AMBAYO WANAJUA WAZAZI WAO WAMEWEKA SERIKALI MKONONI. PETER ALIVYOUA MFANYAKAZI WAO BABAKE NA MAMAKE WALIHONGA PESA AKALALA KEKO SIKU CHACHE TU AKATOLEWA NA KESI IKAFUNGWA, YUKO TU MITAANI ANACHANYATA.

    ReplyDelete
  6. wajameni mboni wabongo hamna akili timamu? yameanza maoni ya walter na vonetha sasa yanakuja mambo ya peter rupia kutaka kumuua shena sinare inahusu nini? na muna uhakika gani wa mjadala huu? kama ni yeye shena mwenyewe anayezoza hivi si haki, mana mtoto mzuri huyu lakini akili kichwani ni finyu na si yeye tu familia nzima hata shangazi yao sesi huwa anabwabwaja ukweli kuhusu hii familia, abarikiwe aunti sesi maana huwa anabwabwaja ukweli hafichi kitu sio kama familia nyingine hata kama ndugu zako ni choo unafagilia tu. hapana si yeye. kwanza nawashangaa sana mnaojifanya kutoa data za uongo hapa ni wazi labuda ni rafiki wa shena na munataka tu kumpakazia peter sifa mbaya, mie ni moja ya rafiki wa kina sinare wa karibu na najua ukweli kuwa shena ndio aliyetaka kurudiana na peter, peter hataki maana amegundua uzuri wa mwanamke si sura tu bali ni tabia, na huyu hana tabia wala akili nzuri, hana haya sasa kutamba ati peter anatishia kumuua kwakuwa anatangaza siri zake, pumbaf, ndio maana mamako mwenyewe alikutosa nyumbani manake alihisi unaweza hata kutombwa na mumewe, ni tishio mpaka anawasiwasi unaweza kuchukua mumewe doh! fyateni midomo hapa kama kujiua ametaka kujiua mwenyewe kwakuwa kulikuwa na habari hapa mjini mwanzoni mwa mwezi wa saba kuwa peter amerudiana na girlfriend wake ambaye aliwasili kutoka ughaibuni. peter achana na story za kilofa hizi, goo goo mate. wanaokufahamu wananyaka wazi kuwa wewe si muuaji, wewe ni famili man. hongera sana kwa kutulia. wenye wivu acha wachonge. Pumbaf, mijusi kafiri hawa.

    ReplyDelete
  7. Eh. wabongo mmezidi. kazi ya maana hamna naona. na hapo juu inaonekana ni mpambe wewe wa hali ya juu tena.

    ReplyDelete
  8. KWELI USTAARABU NI KITU CHA BURE
    TATIZO HAKUNA SHULE INAFUNDISHA USTAARABU MAANA WATU WOTE WENYE MANENO MABAYA INAONYESHA WAO USTAARABU HAWAJAWAHI SIKIA WALA PITA HUO MTAA UNAOITWA USTAARABU MAANA TUSINGEKUTANA NA MATUSI KAMA HATA HILO NENO USTAARABU KWAO LINASOMEKA INAONYESHA KWAO NI NENO LA KAMUSI KABISA. KWA UFUPI WATU ACHENI MATUSI KWENYE HII BLOG KUWENI WASTAARABU KWA KUANDIKA MANENO MAZURI KAMA UNAONA HUNA KAZI NA UPO HUKO MAREKANI BASI KIMBILIA MA BOX YAKO SUPERMARKET UKABEBE UPATE DOLA ZAKO 8 KWA SAA UKALALE AU NENDA KASAFISHE HUKO WATU WAZIMA UPATE HIZO DOLA NA HII BLOG WAACHIE WATU WENYE BUSARA ZAO MAANA HAPO JUU PAMEANDIKWA KABISA WATU ACHENI MATUSI WATU MNATUKANA KWELI NIMEAMINI SHULE INASAIDIA NA HAKIKA WANAONDIKA HUO UPUUZI ASILIMIA 98 NI WALE WALIOENDA MAREKANI KWA KUDANGANYA NA STATEMENT ZA BANK FEKI NA WALE WALIOJIFANYA WAMEENDA KUSOMA KUMBE KUBEBA MIZIGO NA SHULE HAWAJASOMA NA NDIO MAANA WANA MUDA MCHAFU WATU WENYE ELIMU ZAO HUWEZI KUTA WANAANDIKA UPUUZI.
    NAHAKIKA MUHIDINI ANAVYOANZISHA HII BLOG HAKUTEGEMEA ANGEKUTANA NA WATU WALIOCHANGANYIKIWA KIASI HICHO NA MAISHA.
    MICHUZI NAKUPA 5 ACHANA NA HAO WATU
    RIP VENOTHA NA WALTER

    ReplyDelete
  9. KWELI USTAARABU NI KITU CHA BURE
    TATIZO HAKUNA SHULE INAFUNDISHA USTAARABU MAANA WATU WOTE WENYE MANENO MABAYA INAONYESHA WAO USTAARABU HAWAJAWAHI SIKIA WALA PITA HUO MTAA UNAOITWA USTAARABU MAANA TUSINGEKUTANA NA MATUSI KAMA HATA HILO NENO USTAARABU KWAO LINASOMEKA INAONYESHA KWAO NI NENO LA KAMUSI KABISA. KWA UFUPI WATU ACHENI MATUSI KWENYE HII BLOG KUWENI WASTAARABU KWA KUANDIKA MANENO MAZURI KAMA UNAONA HUNA KAZI NA UPO HUKO MAREKANI BASI KIMBILIA MA BOX YAKO SUPERMARKET UKABEBE UPATE DOLA ZAKO 8 KWA SAA UKALALE AU NENDA KASAFISHE HUKO WATU WAZIMA UPATE HIZO DOLA NA HII BLOG WAACHIE WATU WENYE BUSARA ZAO MAANA HAPO JUU PAMEANDIKWA KABISA WATU ACHENI MATUSI WATU MNATUKANA KWELI NIMEAMINI SHULE INASAIDIA NA HAKIKA WANAONDIKA HUO UPUUZI ASILIMIA 98 NI WALE WALIOENDA MAREKANI KWA KUDANGANYA NA STATEMENT ZA BANK FEKI NA WALE WALIOJIFANYA WAMEENDA KUSOMA KUMBE KUBEBA MIZIGO NA SHULE HAWAJASOMA NA NDIO MAANA WANA MUDA MCHAFU WATU WENYE ELIMU ZAO HUWEZI KUTA WANAANDIKA UPUUZI.
    NAHAKIKA MUHIDINI ANAVYOANZISHA HII BLOG HAKUTEGEMEA ANGEKUTANA NA WATU WALIOCHANGANYIKIWA KIASI HICHO NA MAISHA.
    MICHUZI NAKUPA 5 ACHANA NA HAO WATU
    RIP VENOTHA NA WALTER

    ReplyDelete
  10. Huu mshikamano wa hawa viongozi wetu wazito ungeanzia huku USA nadhani huyu mwuwaji angepatikana lakini Mmmhh, nakuunga mkono wewe Mizzou

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...