washambuliaji hatari wa istafrika wakiwasili dimbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. huyo ni mwana soka au mama wa August 13. hivi michuzi huyo dem bado anaua tu videos za bongo??

    ReplyDelete
  2. Jamani salama...nywele umezifyeka...bado kidogo niseme mwanamme lakini u got ur own crazy style...na huyo hapo Bush Baaaaaby...

    ReplyDelete
  3. Salama salama wewe mtoto unajifanya mjanja kudiss watu bila sababu maalum kwakuwa uko kwenye media industry basi u think u r untouchable sasa tuanze na sisi??? tumwage mavitu yako humu?

    ReplyDelete
  4. hivi mnajua kwamba Salama ni LESBIAN??? Angalia kipindi chake - uvaaji wake, tembea na ongea yake. Anachonifurahisha haulizi WANAWAKE ngo. Maana anaweza kuzidiwa

    ReplyDelete
  5. Huyu mototo anajifanya kuponda sana na kuaua sanaa wasani wa kibongo. Wewe katika nafasi uliyopo unatakiwa u-promote wasanii wakibongo kwa nguvu zako zote. Mtazamo hasi unaaonyesha kuhusu sanaa za kibongo katika vipindi vyako unanikera sana. Kama huwezi kufagilia hawa wasanii wetu chipukizi, jitahidi basi hata kuwa na unbiased opinion kwa hawa wasanii wetu (neutral ground). Hii itakuongezea rating za vipindi wako maana sasa ukitokea EATV inakuwa ni motisha tosha kwa kusogeza channel na kutafuta vipindi vingine. JIREKEBISHE!

    ReplyDelete
  6. yea wewe mtoto salama kuma kwanza nani anakupa uwezo wa kukosoa music videos za watu??? umesomea wewe hiyo au unafikiri ni kama kuwa lesbian kutongoza chicks za watu kuma we!!! alafu unawekwa kwenye bongo star search kwakeli ni kituko huyo anayekupa shavu kweli unamtia vizuri maaana wewe na huyo kuma wa bang Emelda! wote hamjui hiyo fani sijui mumekuwa majudge kwa vigezo gani???

    ReplyDelete
  7. huyu mtoto mshamba tuuu huyo katoka znz juzi tu... tatizo kile kituo chao cha tv na redio kinaendeshwa na madogo mno ndio maana clouds fm WANAWAPIGA BAO SAAAAAAAAANA. hwana hata haibu wanaigakila kitu cha cluouds e.g taarabu jumapili nao sasa wana taarabu jumapili alafu hawana hata haya jigga yupo mjini hawatangazi kwasababu ya beef za kijinga ndio maana tumeacha kuwasikiliza na kuwaangalia sasa ngoja clouds wafungue tv station yao.

    ReplyDelete
  8. Ni kweli kabisa Salama ni mjinga tuu.
    Anapondea wasanii bila sababu. sababu za salama sio za kitaaramu ni za kuokotaokota tuu.

    Kabinti haka ambacho wenzangu hapo juu mmenienleza kuwa ni kasagaji kanadhalilisha wasanii wachanga. Anawatukana anawafukuza anawatolea maneno machafu.Kwanza amekuwaje jaji huyu kwa sifa zipi.

    ReplyDelete
  9. NGOJA NIWATONYE wenzangu..mie mwenyewe nilikuwa bonge moja la hater kwa huyu demu na maswala ya kuzisema zile video hewani nikaja nikapata ufafanuzi kutoka kwa wanaoelewa mambo ya media kuwa ile inatokana na kazi yake tu si kwamba kote anafanya hivyo,hiyo ya wewe kupata negativity sijui ulipoenda muona na akakupa maneno ya kejehi au kukufurumusha then hapo siwezi sema ila kwa swala la kusema video ile ndio kazi ya kile kipindi cha planet bongo na kama hamjui then hata wewe ukiajiriwa kufanya kile kipindi utatakiwa kufanya hivyo hivyo,halafu kingine pale bwana unapata airtime ya nguvu maana video yako itasemwa ila bado hewani watu wataiona maana kama hamjui watu kibaooooo nyie nyie mnaomchukia hamkosi kila jumatano kukaa saa tatu kujua leo anasemaje salama!maswala ya kuwa msagaji hiyo ni life yake bwana mbona wako watu kibao wasagaji na magay tunapishana nao ingawa twawachukia?kwa hiyo msitumie tu chambo cha kuzisema video maana makosa yapo kibao ila watanzania tulivyo hatutaki kusemwa... tunapenda sifiwa tuuu haiwezekani bwana tunarudi nyuma mno...wacha waige vipindi bwana si ndio kukua huko??peace and big up kwa kila mtu katika society anayejaribu kwa kila hali kutengeneza nchi na si kubomoa!

    ReplyDelete
  10. hata mie nasupport hapo..unajua tungelalamika sana kama angekuwa anawasema wasanii wachanga tu ila anasema wote hata wale wakubwa waliobobea ambao wanatend kujisahau na video zao...maana itakuwaje video ya kwanza ya msanii mkubwa atoe tight kinoma na inayofuatia iwe bomu?acha awaseme bwana maana anasema production company sana sana ambazo zinahitaji kuwa na msimamo

    ReplyDelete
  11. Salama mdogo wangu wewe songa mbele, haters waendelee kusema. Usilolijua ni usiku wa kiza, na kama mtu si fani yako uliza uambiwe na sio kusaga. Kuhusu jinsia... kila mtu ana uhuru wa kuchagua maisha gani aishi, hayo ndio maisha aliyoyachagua na familia yake imekubaliana nayo...soooooo

    ReplyDelete
  12. salama,she need to change her attitude toward Tanzania young artists...., she too negative and too critique. Even when it not neccessary,we need some positive feedback on her TV presentation.

    ReplyDelete
  13. nairobichickDecember 28, 2012

    EEh Wanabongo kiswahili chenu ngumu....anyway back from nairobi i like the gal....her swagg everything. Cant believe tanzanians are hatefull of their own like that...i thot you are the society of "naomba niuziwe sukari"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...