Home
Unlabelled
jeneza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunashukuru mungu mwili wa ndugu yetu umefika salama nyumbani kwa ajili ya mapumziko ya milele, sisi tulimpenda ila mumngu amempenda zaidi hatuna budi kumshukuru kwani kazi yake haina makosa. Rest in peace Walter.
ReplyDeleteMzee Mazula utafikiri Ulimwengu?Kweli duniani wawili-wawili.Pole mzee Mazula kwa msiba uliopata.
ReplyDeleteNA NYIE VIJANA MJIFUNZE KUTOKANA NA HII MISIBA YA KUSIKITISHA, ACHENI TAMAA NA KUTAKA PESA ZA HARAKA HARAKA, HUU NI WAKATI WA MSIBA NA WAKUANGALIA MIENENDO YENU.
ReplyDeleteNA WAZIZI PIA MUANGALIE NA KUWASHAURI VIJANA WENU.
Bw kinegga!
NA MUACHE TAMAA KINA DADA.
ReplyDeletePICHA IMETRICKIWA IONEKANE KAMA NI WIZI WA MAGARI LAKINI SIVYO, NI MAPENZI. NI UJANJA WA MAMURDER HUKU SIKU HIZI.