chinga wa taimz skwe huko nyu yok ananikata jicho wakati nasnepu. sikumuuliza kitu kwa alionekana kuwa na machale kama chinga wa bongo waliotimuliwa kati ya jiji...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. halafu mbongo huyo!! alistukia na wewe mbongo nini?

    ReplyDelete
  2. Mandingo huyo

    ReplyDelete
  3. haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahahahaahahahahaahahahahahahahaa....KWAKWAKWAKWAKWAKWAKWAKWKAKWKAWA!nakufa mbavu....

    eti mbongo huyo....heheheehehehe....acheni ugomvi...ila kakaa kama vile alikuwa anataka kutoka nduki.inaelekea alitimua baada ya kupewa notisi huku bongo akahamia NY sasa baada ya kumuona michuzi akahisi kaja kufatwa....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...