madenti wakiwahishwa shule na mai anko wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. thats a VERY DANGEROUS move as the kids hawana hata kofia za kujikinga na ajali na yule wa mwisho yuko likely kuanguka endapo mwendeshaji atakosa balance au kuingia kwenye shimo ghafla... jamani tuwe makini ni vigumu kupata mtoto yule yule endapo bahati mbaya atafariki....

    ReplyDelete
  2. WA UGHAIBUNI ONA MAMBO

    You are here > Home > Towns > Dar-es-salaam > City By Night


    Documentaries


    Flight Schedules


    Tourism in Tanzania


    Medical & Health


    Articles Articles Arms Deals Black Wood Global Africa
    Flights Arrivals Departures Domestic Kilimanjaro Zanzibar
    Medical AIDS Your Body Cancer Drugs First aid Fitness Local Men African Men
    Tourism Kilimanjaro Safaris Zanzibar
    Towns & Cities


    Places Arusha Bagamoyo Dodoma Iringa Kigoma kasanga Moshi Mwanza Morogoro Tanga Zanzibar
    ... Search Tanserve NEWS


    TOWNS


    FACTS


    LIFE STYLE


    CULTURE


    EMAIL


    HOME


    Swahili Phrases | Sign Our Guest Book | Emergency Services


    Travel Agents


    Calendar Events


    Diplomatic Missions


    Safari Agents


    Internet Cafes


    Hotels


    Miscellaneous


    Travel Tips


    Transport Services


    Business Guide


    ...Like most large African cities, there are substantial contrasts between the various parts of the city. However, you won't find here the glaring disparity in living standards between the slums and the more salubrious suburbs that you would in Nairobi.





    The busy, dusty streets and concrete buildings around the Kariakoo Market and clock tower are certainly a world away from the wide, tree-lined boulevards of the government and diplomatic quarters to the north, but there's no way you would describe them as slums. From being a relatively unrewarding place for nightlife in the mid to late 1980s, Dares Salaam has considerably livened up, particularly if you're willing to head towards Oyster Bay.


    Click Here for a list of clubs


    Night Clubs, Casinos,...


    Live Music Click here

    ReplyDelete
  3. Hiyo huku Indi ndiyo usafiri wao Wahindi.Bila Bajaj na pikipiki huku India usafiri ni ngumu sana.

    ReplyDelete
  4. INASIKITISHA but thats the real life of we Tanzanians. siyo kwamba wameamua ku-risk na wala siyo kwamba wanafurahia kuwa kwenye hicho kitukutuku. wanajua kabisa kuwa wana hatari but there is no way. napendekeza picha hii itolewe kwenye gazeti ili wazee wa ikulu waione. labda wataacha kununua mashangingi na kuwaridhisha watanzania kwa ahadi kemkem (zisizotekelezeka)na labda wataboresha usafiri wa wanafunzi hususan katika jiji la Dar.

    ReplyDelete
  5. wewe hapo juu ni kuma kwasababu watu wanaongelea itakuwaje jamaa yuko na kofia na watoto hawana kofia kiasi kwamba hata kama kunatokea hajari kidogo au jamaa hakipita kwenye kibonde kidogo tu huyo mtoto wa nyuma itakuwaje,sio mambo ya india,acha ukuma

    ReplyDelete
  6. Haya ndiyo mnayotaka.....
    Mimi ninalia na wanafunzi wa Tanzania tu mpaka kufa kwangu!!!!!!!!!
    Kwa nini SERIKALI haiwaangalii?
    Juu ya hapo inakula hela zao!!!!!!
    KWA NINI??????????????????????????
    WHY???????????????????????????????
    KWA NINI WANABAGUA HATA WATOTO????
    Rangi, Dini, Kabila, Roho gani mbaya hiyo jamani......eeeeeh!!!!

    ReplyDelete
  7. itabidi kaka michuzi siku ukija london nikupe helmet 2,ili uweze kuwapatia hao watoto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...