Home
Unlabelled
moroko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Barabara ya Moroko Rodi?
ReplyDeleteSaidi, ulifika Newala na kupitia Versace 647 Fifth Ave.@ 52 St. bila kuendelea kidogo Uptown na ukapiga picha ya Tiffany Store & Co. & 57t St. kulikojaa tanzanite zetu?
Naona Michuzi umeamua kunikumbusha mitaa ya skani-maeneo ya Kinondoni Mkwajuni, natamani kurudi lkn ndio hivyo bado sijapata mzigo wa kuwapelekea masera pale Manyanya.
ReplyDeleteAnony wa 7:34AM ungewaambia masela kuwa na nauli bado ni mgogolo
ReplyDeletedar inahitaji four lane in one side not two this is because we get too many cars on the road and it is just so frastrated especially during rush hour. angalia hiyo space yote iliyo wazi? hatuna high ways nyingi sasa hiyo space yoe inapotea bule? poor infrastructure inatukwamisha
ReplyDeleteHii inaitwa Barabara ya Kawawa. Barabara nyingi miaka ya karibuni zimebadilishwa majina na kupewa majina ya waasisi waliopita. Pugu Rd kuwa Nyerere Rd,Upanga Rd kuwa Ali Hassan Mwinyi Rd, Port Access Rd kuwa Mandela Rd n.k. Majina haya ya waasisi utakuta yameshapewa kwa vitu vingine kama viwanja vya michezo, maonyesho, viwanja vya ndege n.k hadi yanakuwa yamejirudiarudia, majina yaleyale yanagongana na kuwachanganya watu. Mimi nadhani sasa inatosha kutumia majina ya watu walewale mpaka yanajirudia. Kwa upande wa Barabara inapendeza zaidi kubaki majina yaleyale ya eneo au mkoa. Hii inakuwa rahisi kumwelekeza mtu kwa jina lake halisi la uelekeo mf. Bagamoyo Rd inaelekea Bagamoyo, Pugu Rd inaelekea Pugu, Kilwa Rd inaelekea Kilwa, Morogoro Rd inaelekea Morogoro, Morocco Rd inaelekea Kinondoni Morocco. Asante
ReplyDeleteAnony juu maoni bomba. Ila michuzi ni Kawawa road. Na sio 'Barabara ya Morroco Road'. Aidha tumia kimatumbi ama kikristu, sio unachanganya vyote.
ReplyDeleteFagilia babake maana bongo ni Kinondoni, kariakoo, magomeni na ilala wengine wasindikizaji.\mbongo wa kinondoni studio
ReplyDeleteSasa wewe unayeandika hizi "file names" mbona unaji confuse mwenyewe kama hukusoma bwana....eti "Barabara ya Morogoro Rodi"....its either "Morogoro Rodi" au "Barabara ya Morogoro"...look at your previous posts its the same repeatitions...its ridiculous whoever you are.
ReplyDeleteHizo njia zote zinaendana na majina kwa mfano Morogoro Road inakwenda Morogoro, Kilwa Road inaelekea Kilwa Tatizo linakuja upoandika Morroco Road nilifikiri inaelekea Morroco kumbe Kinondoni.
ReplyDeleteMafuchila
Kinoclain babake
ReplyDeleteHivi kuna tofauti gani kati ya Barabara na Road?.....
ReplyDeleteSasa hii maana yake nini barabara ya Morocco Road?....
Maana yake ni kuwa ondoa unoko wako kwenye blog hii. Hayo unayojaribu kusahihisha watu wanayajua kabla hata hujazaliwa. @#*&%? taipu.
ReplyDeleteWema Isaac SEPETU
ReplyDeletehapa ni mkwajuni na sio moroko, yaani mie nipo ughaibuni miaka 5 na nusu sasa na wewe hupajui hapo ni wapi ? come on, michuzi hapo ni mkwajuni babakeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletejamani kama waandishi wenyewe ndio mnashindwa kutumia kiswahili fasaha sisi tunaojifunzia magazetini au kwenye hizi tovuti tufanyeje?? barabara ya morocco rodi......
ReplyDeleteintaneshino eapot, international sisi tunajua kiswahili ni kimataifa na eapot ni uwanja wa ndege sasa inakuwaje, naomba urudi darasani mshkaji, unatuchefua!!!
Anony 12:41 Ni kinondoni mkwajuni lakini ni Morroco Road (Kawawa Road)
ReplyDelete