baada ya machinga kuondolewa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kila kukicha tuna ambiwa bongo kuna maendeleo,mijengo kibao,hapa si zaidi ya kilometa 3 kutoka city centre.
    DR ishengoma

    ReplyDelete
  2. mbona kama sio tz? kunaonekana kama kwa wapashtuni vile kule afghastani!

    ReplyDelete
  3. Congo Street haina maana bila vibanda na machingas!

    ReplyDelete
  4. Afadhali sana sasa kunaweza kuwa na good planning. Na ukarabati unawezekana.

    ReplyDelete
  5. Tanzania inabidi ianze kampeni ya FFA (Flat For All).
    Uchumi tunao tunaukalia.

    ReplyDelete
  6. www.afrointroductions.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...