tulibahatika kumtia machoni mzee wetu waziri mkuu mstaafu sumaye anayekula kitabu havad

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Ada yake na matumizi ambayo anagharamiwa na serikali ni sawasawa na ada ya watoto 1000 shule ya sekondari ya serikali ambayo ada ni shilingi 100,000. Ada yake hapo harvard sio chini ya milioni kumi. Hajaenda kutwia kinywaji au kumlipia mary nagu aende kumtembelea

    ReplyDelete
  2. michuzitunaomba picha zaidi za jk alipokua anajivinjari us. na mapokezin yako bongo...

    ReplyDelete
  3. Nadhani ni Rais anaye andaliwa hapo baadae ndio sababu wanamsomesha.

    ReplyDelete
  4. akipewa uraisi wengine itabidi tuombe uraia wa nchi za kigeni. make mnada unaweza kuzidi sasa.

    Tanzania ni wachache wantumia elimu kuendeleza nchi.

    ReplyDelete
  5. we anon wa kwanza napenda kukusahihisha lkn si kwa ubaya maana unasema kua ada ni milioni kumi, mbona hiyo ni ndogo sana, hiyo ada ipo kwenye colleges za public, hiyo havard ni kama $40,000 kwa mwaka,tena hiyo ni ada tu na bado ma fees mengine hujalipa ndio maana ile shule wanaenda watoto wa mamilionea, maana watu wa chini ukibahatika kuingia basi ujue umepata schoralship tena na uwe kipanga darasani kikwelikweli.hii ndio tanzania ndugu yangu

    ReplyDelete
  6. Huyu ni jirani yangu kule Kiluvya ingawa yeye ana hekalu na mimi niko kwenye nyumba ya msonge lakini bado ni jirani yangu tu

    ReplyDelete
  7. Mtoto wa Mkulima kusoma amekaa chini na kula ugali tu kwa gharama ya dola 600 kwa mwaka serikali haina pesa. Kwa haraka haraka chukua USD40,000 gawa kwa USD600, utaona wakulima wangapi watasoma.

    ReplyDelete
  8. mojawapo ya mambo yaliyo muangusha huyu jamaa kwenye uchaguzi uliopita ni kiwango chake cha elimu, nadhani ndiyo hakaamua kwena kusoma.
    kugombea uraisi nadhani anaweza kugombea lakini kushinda sidhani

    ReplyDelete
  9. I doubt kama serikali inamlipia huyu, nadhani kapata sponsor kupitia kanisa lake la Azania Front

    ReplyDelete
  10. Nyie wabongo saa nyingine wajinga ,sana Sio vigogo wote maskini Sumaye anajisomesha mwenyewe,na pia ni mchapa kazi na anautajiri wa kuhangaika mwenyewe ni mfugaji na mkulima wa mahekta na mahekta .

    ReplyDelete
  11. wewe hapo juu acha ujinga, huo utajiri sumaye kaupata kabla ya kuingia madarakani au wakati alipoingia madarakani ? acha kuropoka tu, watu tunamjua sana huyu mwizi, sasa subirini tunaipa serikali miaka 15 ijayo nakuhakikishia ccm inatoka madarakani, mimi mwenyewe ccm damu damu lakini huu upuuzi sasa umezidi na kikwete ndie anayenifanya tuiondoe ccm madarakani, sasa tunaandaa kamati, na kuomba pesa nchi za nje ili ccm iondoke, na kuhakikisha hii tuombe uhai mtaona ninayosema !!

    ReplyDelete
  12. ZERO THE BRAIN,Former PM back in skul.What for?There must be something behind.Unasoma kozi gani mkuu Sumaye.Maana miaka 10 yote madarakani ni ushahidi tosha kwamba ulikuwa unatuburuza kwani elimu mzee ilikuwa duni.Sina hakika sana lakini jamaa nasikia ana dip ya kilimo.Ok hilo si tatizo lakini uongozi wako ulikuwa na uwalakini.Soma mzee wakati ndio huu.

    ReplyDelete
  13. Huyu former PM hasomi HAVARD kama vile mimi na wewe tulivyoenda college. Ana-attend seminar in leadership amabazo hutolewa kwa bure na HAVARD University kwenye school of goverment to former leaders especially from poor countries. Anapigwa msasa tu haendi darasani kama wanafunzi wengine.

    ReplyDelete
  14. Huyu ni mwizi mkubwa yeye na mkapa wameiba serikalini kwa mikataba ya uongo hivyo akichukua uraisi tu najiunga na alqeda ili niwalipue.

    ReplyDelete
  15. Wewe mchangiaji wa Kwanza unasema PM anamlipia Mary Nagu aende kumtembelea US. yaani wanamahusiano ya kutombana. Lakini haka kamama kanapenda mboo sana. Nilisikia kwamba Lukuvi alikuwa anakatia nae na siku moja mume wa haka kamama aliwakamata new Africa wakitiana.

    ReplyDelete
  16. Watanzania wepesi sana wa kusahau leo hii naweza kuwaibia kesho maneno mazuri tu kesho kutwa kiongozi wao. Ndio maana hatuendelei wezi kwetu ndio watu muhimu tanzania ukifanyia serikali vizuri ukatoka madarakani bila kitu wewe unaonekana zezeta.

    Sasa huyu mzee wa kibaigwa ambaye pamoja na kuwa waziri mkuu alikuwa anagombana na wazee ananyanganyana nao mashamba leo hii anaonekana mtu muhimu na mwenye kufikiliwa kuongoza nchi yetu.

    Mimi siwaelewi wote wanaosema hila. Hivi kabla sijasahau huyu si ndiye Mzee wa Matrioni ya mikataba? Mwenye habari atutonye tafadhari. Huyu na mzee BMW ni wale wale ndio walioturudisha hatua mia tano kwa kujali manupulation and decission bila kutumia utaalamu.

    Sasa kwa nini hizo kozi hakusoma wakati akiwa kiongozi hili apate upeo wa kuongoza nchi yetu kama collification hakuwa nazo.

    Ukweli inanitia kichefuchefu, yaani wanachukua watu wasio kuwa na elimu wanajifunzia kwetu/kwenye nchi yetu sisi tumekuwa vichwa vya wendawazimu au?

    Nimeisha ona na wengine wasio kuwa na upeo wameanza kugawa mboga za majani kwa watu hili nao wafikiriwe kuwa mawazili wakuu.

    Mimi yangu darubini tu hila ikibidi itabidi siku moja tukamatane mashati wazee kama tunajua huwezo hakuna soma kwanza mzee.

    ReplyDelete
  17. Nawashukuru watanzania wenzangu kwa kuchangia maoni katika hii blog ya Michuzi. Lakini nimesikitishwa na maoni ya wengi ambayo hayaendini na watanzania waliyo elimika. Hii ni kwa sababu haya mwelimishi mtu yeyote hasa ukizingatia yamejawa na matusi mengine ni mazito sana. Nimesikitishwa sana na matusi mengi yanayo elekezwa kwangu bila msingi. Nimewatumikia kwa miaka 10 na hiki ndicho napata kwenu? Inasikitisha sana tena sana na ni aibu kwA TAIFA LETU...Ni nyege tu zinawasumbua hakuna kingine,
    Sasa kwa taarifa yenu nyie wote hapo juu Mnatombwa matakoni na mkizidi kuongea nitawatomba mimi mwenyewe pindi nimalizapo mambo yangu huku, malaya wakubwa!

    ReplyDelete
  18. S---- Ukweli unauma!

    ReplyDelete
  19. watandike mboo hao wanaokutukana mzee tena nitakusaidia kuwanyonyesha mpini wangu hao watoto hawana akili kabisa.

    ReplyDelete
  20. huyu kaka kumpa mkono ex pm anaona kapata eeee??? angejua nuksi tu hizo

    ReplyDelete
  21. Huyu Sumaye alikuwa safi sana alijiepusha na Rushwa ndiyo maana hata kwenye hii blog hakuna wa kumgusa upande wa rushwa au kujilimbikizia mali.Kikwete ana roho ya korosho tu sababu ni mshindani wake kisiasa angeweza kumchagua kuwa waziri mkuu wake tena.Lakini Mungu si Athumani sasa hivi yuko USA nakula kuku kwa mrija.

    ReplyDelete
  22. mimi naona ex-pm kakumbuka shuka kukiwa kumekuchwa.sasa anosoma at that age ili iweje?

    ReplyDelete
  23. Afadhali mweshimiwa amekwenda USA make pale ubungo machinga walikuwa na usongo naye siyo mchezo.

    Wakati wa Ukuu wake alikuwa amezidi tukuweka barabarani kila wakati na mbwembwe zake.

    ReplyDelete
  24. Kuna jambazi lingine limetinga ofisi ya waziri mkuu linaitwa Edward Lowassa, litatuponyesha kweli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...