mwalimu alianzia mbali...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. katika picha hii Dosa Aziz alikaa pembeni ili asiiweke kazi yake serikalini matatani(kutokana na agizo la circular no.5 kwa watumishi wa serikali).Kasela Bantu hakuwepo ila aliingizwa kwenye picha hii mwaka 1974 na kitengo cha picha cha chuo kikuu cha dar es salaam.Kasela Bantu ndiye aliyemtambulisha mwalimu kwa Abdulwaheed Sykes ambaye kwa wakati huo alikuwa rais wa TAA.Dosa Aziz alijitolea kutumia gari lake kila jpili kumuwezesha mwalimu kutoka Pugu kuja Gerezani kwa ajili ya majidiliano ya kisiasa.

    ReplyDelete
  2. Sijui picha hii inaambatana na majina yafuatayo:

    Mwalimu J.K. Nyerere – Rais wa TAA/TANU
    Geremano Pacha – Jimbo la Magharibi
    Joseph Kimalando – Jimbo la Kaskazini
    Japhet Kirilo – Jimbo la Kaskazini
    C.O. Milinga – Jimbo la Mashariki
    Abubakari llanga – Jimbo la Ziwa
    L.B. Makaranga – Jimbo la Ziwa
    Saadani A. Kandoro – Jimbo la Ziwa
    Suleman M. Kitwara – Jimbo la Ziwa
    Kisung’uta Gabara – Jimbo la Ziwa
    Tewa Said Tewa – Jimbo la Mashariki
    Dossa A. Aziz – Jimbo la Mashariki
    Abdu Sykes – Jimbo la Mashariki
    Patrick Kunambi – Jimbo la Mashariki
    Joseph K. Bantu – Jimbo la Mashariki
    Ally Sykes – Jimbo la Mashariki
    John Rupia – Jimbo la Mashariki

    ReplyDelete
  3. Wengine masutiiiiiiiiiiiiiiii, mataiiiiiiiiiiiiiiiiiii, na masurualeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Lakini Kambrage, kaputura ya khaki (pengine chapa Stakpoti - ka-mji ka Uingereza ka Stockport-on-Avon) na stokingi. Lakini alikuwa akizifungaje hizo stokingi, kwa sababu hakuwa na minofu (misuli) mikubwa...(pamoja na kumkumbuka kwa kutuacha, chekeni kidogo)!

    Nyakati hizo, sisi tuliowahi kuziona, ma-Disii, ma-Bwana Shauri, na wakoloni wengineo - kuacha Gavana - wafanyakasi serikalini, na walimu wengi walikuwa wanapenda sana kuvaa makapturua na mastokingi yaliyojaa viko.

    Wenye ujuzi wa kuandika historia ya mavazi ya Tanzania, fufueni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...