Home
Unlabelled
vonetha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi tunakushukuru sana kuleta hii taarifa sie tulio mbali. Tuko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.
ReplyDeletepole mama Vonetha ni uchungu mama mungu atakupa nguvu we mzazi mwenzetu.
ReplyDeleteWewe Michuzi acha hizo HUJATULIA kabisa umeshindwa kujigawa vipi? siunge kwenda kila msiba kwa wakati wake kwani Mikocheni Na Mbezi ni masaa kumi? Kwani Photo Point haina wafanya kazi wa kutosha? Acha maneno ya kipuuzi tupe picha tuone siyo unakuwa mbaguzi hata kwenye misiba. Ama unafuata penye Wali na Nguruwe? na pombe za bure?
ReplyDeleteMichuzi anauwezo wa kuwa kote kote ila amechagua kwa kina Walter sababu kuna watu famous kidogo kule zaidi ya Mbezi.
ReplyDeletejamani mazula ni neighbour hood ya michuzi ndio maana kaona abane hapo kwa usiku huu asubuhi ataamkia mbezi msameheni kwa hilo
ReplyDeleteHivi kuna nini ndani ya hiyo coffin? Walifungua kutazama kama Vonetha kweli yumo.
ReplyDeleteWe Michuzi fanya kazi yako,wacha kujali baadhi ya comments za Critics,kwani huwezi kuwa mzuri kwa wote!Tunaomba picha zaidi!
ReplyDeleteSome people in here are nuts, really!
ReplyDeleteRIP Walter Mazura and Vonetha Nkya.
ReplyDeleteKuna mijitu mingine hapa ilikuja kula tu WALI na POMBE za bure, maana you can tell by just looking. Sasa Jamani kuna watu mlikuwa hapa Kwa kaka mazula mkala WALI na POMBE halafu baadaye Mkahamia kwa JAY Z? Baada ya kushiba na kusaza, wabongo kwa bure bure hamjambo.. Michuzi saa 48 zimekwisha pita kama ulipata muda wa kutoroka tupe mambo ya JAY ZZ tunanyege ya kujua kulikoni jikoni dar. Vipi mambo yalifana sana?
ReplyDeleteAsante kwa picha..naomba nazingine zaidi mimi Vonetha alikuwa binamu yangu na ataendelea kuwa binamu yangu sante sana!
ReplyDeletemimi napiga marufuku watu wote wanaotumia matusi wakati wa msiba huu, nitawashughulikia nina software za kuwajua.
ReplyDeleteMichuzi tunaomba picha zaidi za upande wa Nkya
Mungu wafariji wafiwa...INAUMA