mh. joseph mungai (shoto) na mh. basil mramba, mawaziri wazoefu wakinadilishana mawazo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. JAMANI WEWE MURAMBA NA MUNGAI HAMWEZI KWELI KUKATAA POST YOYOTE MNAYO PEWA HATA LEO HII NAAMINI KIKWETE AKIKUPA UKUU WA WILAYA ITIGI UTAKIMBIA KAMA HUNA AKILI NZURI HIVI NYIE MNA MATATIZO GANI? HAMTOSHEKI HATA KIDOGO? HAMWEZI KUWAACHIA WATOTO WANAOMALIZA SHULE AMBO KWENU NI KAMA WAJUKUU NA WENYEWE WAFAIDI? TOKA TUNAZALIWA NYIE MKO TUUU KWENYE SYSTEM EH! KIKWETE NA YEYE ANA ISHU AMEKOSA WASOMI WENGINE MPAKA WATU KAMA HUYU MUNGAI KIJANA WA NYERERE ANARUDI TENA MADARAKANI? AIBU KUBWA NA NI UDHALILISHAJI ETI HATUNA WATU MUHIMU KUSHIKA HIZI POST?

    ReplyDelete
  2. mchanga anapewa viwanda na biashara? tumekwisha mwaka huu....hawa jamaa hata nyerere alisema wachaga hawafai kupata urais ni wezi number one, wanaiba mpaka wanajisahau ni watu hatari sana. wanatakiwa wajiajiri tu wenyewe na wizi wao wa magari mahanithi sana hawa, kila sehemu ni wezi tu hawa sasa wewe kikwete sijui mkapa kakuhonga nini umemrudisha huyu muramba kwenye neema subiri utaona matokeo yake,Mchaga unamweka jikoni?

    ReplyDelete
  3. Haya mambo ya kuamini Mchaga mwizi, Mpare bahiri, Mhaya... yamepitwa na wakati.Ukweli ni kwamba wakati wa Nyerere hakukuwa na watu wengi wenye uwezo na kisomo ki nacho kizi nyazifa mbalimbali hivyo ilieleweka kwanini watu hao hao walikuwa wanazungushwa kutoka wizara moja mpaka nyingine. Ilielweka kwanini watu ambao wako kwenye mfumo na ambao mchango wao hauonekani wanaendelea kuwa kwenye mfumo. Sasa hivi Tanzania watu wengi wapo wanaofaa kupata nyazifa mbalimbali.Tungependa watu wapya wenye uwezo wapewe nafasi ya kuingiza ujuzi mpya wa kutatua matatizo yetu Tanzania.

    ReplyDelete
  4. Wazoefu au wazembe tu hao? wanabadilishana uozo, vichwa maji tu kama huyo Kikwete aliyewapa hizo nyadhifa, hivi sisi tuna tatizo gani jamani?

    ReplyDelete
  5. Kwanza nitumie fursa hii kuvilaumu vyombo vya habari vya Tanzania, kwanini? Kwasababu vinatumia muda mwingi kujipendekeza, kujipendekeza katika misingi kwamba vinasau wajibu wa kitaaluma.Kuufahamisha umma yale yasiyokuwa wazi.

    Lakini ukifuatilia kwa makini utaguindua kwamba habari ambazo ni negative kwa serikali haziandikwi kikamilifu.Tunaishia kusoma vapour, pr stories na spin.

    Leo hii taifa liko katika hatari ya kuangamia kutokana na kukosekana kwa vyanzo vya umeme wa ukakika [reliable sources of electricity].Kwanini tunaruhusu hwa viongozi kutuchezea akili?

    Kwa nchi za watu wenye akili zao timamu za kimaendeleo, kitendo cha mgao wa umeme, [power rationing], kinaweza kupelekea serikali kujiuzulu.

    Tanzania, masikini ndugu zangu, tumeishia kufuatilizia nyimbo za hao wanaoitwa viongozi [singing alone the tunes of leadership], ari mpya, kasi mpya, .

    Kusema ukweli ndugu zangu, kama hizi kauli mbiu ni mambo ya kutilia maanani, mawaziri wengi katika serikali ya Jakaya Kikwete hawakustahili kuwepo katika nyadhifa walizo nazo.

    Rais Kikwete utaendeshaje nchi bila nishati, uzalishaji umekufa.

    Sikuwa na nia ya kumkosoa rais Kikwete hapa, nia yangu ni kuwakosoa waandishi wa habari na vyombo vya habari.

    Wajibu wenu siyo kumfagilia rais Kikwete na serikali yake, mnatakiwa kumkosoa yeye na wenzake.

    Ni aibu watu wanaenda kuandika habari za sifa za kijinga, wakati Dar Es Salaam mpaka leo hakuna maji, umeme ndiyo huo imekuwa luxury.

    Bila jitihada za makusudi kutoka kwenu waandishi, nchi hii inaangamia tena kwa kasi ya ajabu.Shauri yenu msije lalama hamkuambiwa.

    ReplyDelete
  6. Anonymous wa Thursday, October 19, 2006 9:44:30 PM, hapo JUU, nakuunga MIKONO yote pamoja na MIGUU yake! Asante sana kwa kutoa HOJA yenye nguvu na endelevu. Mimi binafsi inanisikitisha sana kuona kuwa nchi yetu imefika mahala ambapo wafanya biashara wasio na uwezo wa KUCHAFUA mazingira kwa kutumia vile vi-diesel generator kupata umeme kubadili muda wao wa kazi kuwa USIKU ambapo wapendwa wateja wao wanalala. Nakumbuka mwezi mei 2006 serikali kupitia TANESCO wakisaidiwa na hao WAANDISHI wa habari walitangaza tender za ku-supply GAS TURBINE. Lakini kwa kuwa tender ilikuwa imejaa RUSHWA ilibidi waweke deliver time fupi ili ya kwamba wale wote ambao ni capable ku-supply turbine hizo washindwe ku-tender bill ile. MATOKEO yake watu wao walitender na waka WIN. Cha kusikitisha ni kuwa hadi leo wanazidi kupiga danadana, wala sioni gas turbine pale ILALA 40MW wala UBUNGO 60MW. Hivi kama WAANDISHI wa habari wangekuwa makini si wangekuwa wamesha HOJI kulikoni hizo GAS TURBINE???? Kwani ilibidi ziwe zimeanza kufua umeme tangia AUGUST 2006. Najua kuwa Technically ilikuwa haiwezekani, lakini kwanini "SIRI"KALI pamoja na vyombo vyake VIDANGANYE kama haikuwa RUSHWA ndani yake??? Mh. Dr. Msabaha moja kwa moja ana mkono wake!!! Mimi naumia sana ninaposhindwa ku-design kwa kutumia PC yangu na vitu vingine ambavyo nimevinunua ili vinisaidie. El. cooker imekuwa pambo jikoni!! WAZO BINAFSI: Waziri wa NISHATI na MADINI awe wa taaluma hiyo!!! http://www.youngafrican.com/topic.asp?TOPIC_ID=11765&whichpage=3, http://thisday.co.tz/News/801.html TANZANIA TANZANIA, NAKUPENDA KWA MOYO WANGU, NCHI YANGU TANZANIA NILALAPO NAKUOTA WEEEEEEEEE. NIAMKAPO NAkuogopa (Na wala si HERI tena)!!!!! Be blessed.
    Revd. EVM,

    ReplyDelete
  7. Mramba alikuwa ndiye waziri kijana kuliko wote na mwenye akili sana katika baraza la mawaziri alipoanza kuwa waziri. Sasa hivi ndiye mzee baada ya kingunge Ngombale Mwiru(Sina uhakika kama Kingunge ni mzee au ni kwa sababu ya lishe duni ndio maana kakaukiana kama mtu wa kale wa Olduvai GORGE).

    Mramba ana uwezo mkubwa sana akiamua kufanya kazi lakini sasa anaonyesha kachoka ama kwa kukataa kujituma au rushwa na pesa zinampa kiburi kiasi kuwa haoni sababu ya kujituma tena.Watanzania wakipata pesa huwa hawajitumi tena tofauti na Ulaya.

    Tunaomjua Mramba wa wizara ya biashara zamani na Sido ya zamani siyo huyu wa sasa.Sasa hivi mzee mzima kachoka kimawazo,kiakili na kimwili .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...