Home
Unlabelled
bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa michuzi hapo umeshangaa nini?viooo,nyungo au nini?mbona hapo bado sana?mambo kama haya ilitakiwa tuwe tumeshayafikia miaka mingi sana iliyopita,sasa wewe unashangaa nini?wakati una exposure ya kutosha tu au huoni kwa watu?angetoka mtu singida huko akishangaa ndo tungeelewa ila wewe tena mtoto wa mjini kama shafii dauda!au koya!au mimi!aah usinilet down m2 wangu.
ReplyDeleteUlizia mwenyewe nani !
ReplyDeletegive Michuzi a break! kulingana na tulipotoka, huwezi kusema haya si mabadiliko...aah watu wengine hamkosi cha kukosoa!
ReplyDeleteHujaulizwa wewe ANONYMOUS mbona una kiherehere na haraka kama Mgongo wa kwanza,au kama siku hizi umekuwa michuzi sema Mazee!!
ReplyDeleteHili jengo liko maeneo gani na linamilikiwa na kampuni/mtu gani?
ReplyDeleteCha ajabu hapa nini? Kama ni satelite dishes zimekuweko toka miaka ya 1980s, kama ni a/c ambazo ni za kuweka nje ya jengo zilikuweko toka early 1990s, au late 1980s. Labda tofauti na majengo mengi ya TZ ni hiyo glass iliyopo mbele ya jengo.
ReplyDeletealaf kweli mimi sijaona,sasa michuzi na wee kama si unataka kutuzengua tu hii picha ina lipi la ajabu?kama si kutupotezea watu wazima muda wetu,wee michuzi wewe!eehh?wewe baba wewe nakuuliza la ajabu hapo lipi?uwe unakuwa creative bwana eeh?usirudie tena.Nimeshakusamehe.
ReplyDeleteUnashanga majengo wakati hakuna umeme na raia masikini na wenye njaa! kweli hii ndo afrika.
ReplyDeleteMi naona wote hamjajua hapo juu kuna nini, hiyo ni central cooling system, sola heater na HSDPA sattelite dishes hilo ni jego dogo sana na lina huduma hizo na yeye mesema bongo inatisha kwa vitu kama hivi maana yake viko vingi
ReplyDeleteNikweli Bongo inatisha siku hizi kwa sababu ya kelele za magenereta mchana kutwa na usiku ni kiza totoro. Na uchumi unaokuwa kwenye makaratasi na kwenye seminary na warsha.
ReplyDelete