
HAWA NI BANANA NA MISTA BLUU. SOMA HAPO CHINI KWA MAKINI...
habari Watanzania wote na wengineo wasio watanzania. tunapenda kuwataarifu kwamba kuna website mpya inayokwenda na jina http://www.mahusiano.com/ imekamilika. website hii itajihusisha na muziki wa kizazi kipya yaani bongo flava na hapo baadae itajiweka zaidi ktk miziki ya aina nyingine yote.
katika website hii tunajitaidi kuweza kuweka video pamoja na audio files ili muweze kuburudika.
mwisho tunakaribisha maoni, ushauri wa aina wowote kuwezesha hii website kuendelea zaidi.
tunawatakia usikilizaji mwema
MK & MICHUZI
© MAHUSIANO.COM
WOW WOW WOW!!! KWELI MAMBO MOTO MOTO AM SO MUCH IMPRESSED MUZIKI SWAFII CLEAR!! DU SASA NA SISI WA UGHAIBUNI TUTAKUWA HATUPITWI NA MAMBO MAPYA... KEEP UP THE GOOD WORK MAHUSIANO.COM
ReplyDeleteTunashukuru sana Michuzi.. Keep up the good work.
ReplyDeleteHaya ndio Maendeleo. Hongera sana na kazi nzuri!!!!
ReplyDeletewow wow music is clear hata wale tulio na computer aina ya powerbook a.k.a apple tunawapata safi maana blog zingine zilikuwa zinagoma kisa program ya windows imetulia hiyo ongezeni songs ila kaka kingwendu bado hajawekwa.
ReplyDeleteHaki miliki washkaji.
ReplyDeleteLoud and clear! Na muziki unachuja swafiiii!! Michuzi, asante kwa kutupa raha. Inshaalah Mungu akuzidishie.
ReplyDeleteMichuzi naomba uposti ile picha ya Sunday Manara ana mpira na anafuatwa na Marehemu Kajole machela kwenye mechi ya Yanga na Simba iliyofanyikia Nyamagana nadhani mwaka Sabini.
ReplyDeletePlease nitashukuru sana najua maktaba ya Daily news wanazo hizo picha
nasikia kuna habari kuwa mbunge wa viti maalum amina chifupa amekuja juu na suala la madawa ya kulevya bungeni,kiasi kwamba usalama wake uko hatarini michuzi tunaomba picha ya amina chifupa na habari zake.
ReplyDeletemichuzi hii ni nchi huru sana tunaomba picha ya amina chifupa bungeni kuhusu swala la mazungu wa unga.
ReplyDeletemichuzi kwa nini hutaki kutupa habari kamili kuhusu amina chifupa na picha yake??tunahitaji kujua mana nasikia amesikika sana kwenye magazeti ya jana yote.kuna nini??tunaomba utujulishe michuzi.
ReplyDeletetunasikia amina chifupa amekuwa shujaa sana huko tz,imekuwaje??alafu nasikia anataka kummaliza mumewe eti ni zungu??tunaomba habari kamili na picha ya am ina chifupa.
ReplyDeletebro michuzi thax 4 good news keep't up bro!
ReplyDeletehivi hiyo mkaka kingwendu ana masongi mengine hebu tuwekeeni tuyasikie aisee lile la mapepe limenikuna kweli
ReplyDeleteI love it! Thanks for remembering the fans:)
ReplyDeletehii web ni bomba mbaya.. Hongereni sana mambo hivi ndivyo yalivyo
ReplyDeleteMICHUZI TUNAOMBA PICHA YA AMINA CHIFUPA.NASIKIA ANAPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA SANA.TUELEZE HABARI KAMILI TAFADHALI.
ReplyDeleteAmaa kweli sasa Ukhaibuni tunaona kama Bongo kwa kweli Kaka michuzi,asante sana kwa jitihada zako katika kuendeleza wesite yako kwa kutupa habari zaidi.
ReplyDeleteKwa kweli tunaburidika sana ila tunakuomba uwape hawamajaa ushauri jinsi siku zinavyokwenda atuwekee muzic tofauti aina zote.
Yote nasema kazi Nzuri sana kwa kweli waendelee hivi hivi siku moja Mungu atawajalia muziki wao kujilikana kwani hii ni njia mojawapo kuuu katika Kujitangaza ulimwenguni kama sisi tulivyo mbali huko tunawafagiliana sana .
Thankx all!!!
ANONYMOUS plse tena nakuomba ushauri na pongezi moja au mbili zinatosha unamaliza ukurasa wewe mwenyewe plse huna kazi kijana???
ReplyDeleteWewe ulaya gani hupo lakini muda wote huo unapata??wewe kula kulala nini maana sitie maanani maisha ulaya yalivyo na jinsi wewe ulivyo na huo muda.
Chukua muda tafakari hili ok?!1
michuzi tunaomba picha ya amina chifupa na habari zake kamili kuhusu mazungu ya unga tafadhali sana.
ReplyDeletepia hata mimi ningefurahi sana kupata ukweli wa mazungu tz,chifupa kaja juu,michuzi tupe habari zaidi
ReplyDeletemichuzi pole na kazi nzuri tunaomba habari za amina chifupa pls,thanks in advance
ReplyDeletemichuzi nakuaminia babake naomba sana picha ya amina chifupa na habari zake za kuaminika kuhusu madawa ya kulevya.
ReplyDeletepls michuzi we need to know about chifiupas mission for fighting against drug dealers in tz,give us latest
ReplyDeleter u guys siblings?? they look alike!
ReplyDeleteHuu mfumo wa kusuka nywele ni mila na desturi ya mtanzania?je watoto wetu tunawafundusha nini?
ReplyDeleteWabongo bwana, nyie mnaomba tuuuu, habari ziko kyenye magazeti hata hizo mnashindwa kuzisoma jamani, hivi ni lini nyie wabongo mtaweza kujitegemea, hebu jishuhulisheni kidogo, vitu vodogodogo kama hivi, muwe mnatafuta wemyewe, sio mekakaa tu kwenye makomputa mumsubiri Michuzi awafanyie kazi, Kalabagaho.
ReplyDeleteAs ussual good work bro. Hope this doesn't change-u ain't gonna charge us in the future r u?-. Good quality, nice tracks. It's a way to keep us in touch with home. We'll appreciate a lotta sort of academia and so!! Thanks...seriously!!!
ReplyDeleteHiyo miziki mnaisikilizia wapi????Mbona mimi sijaona link yeyote????Ninaishia kuangalia Youtube.com tu ngoma zenyew za wakenya....tuandikieni link basi jamani....????? Tunamisi nyimbo za kwetu bawana...kwnza zilipendwa ingekua so poa
ReplyDeletelink ni www.mahusiano.com na miziki ipo zaidi ya 200 ukitaka kuipata bonyeza <- na -> na wanasema mengine yaja.
ReplyDeletevideos za bongo ingia kwenye website ya bongo radio kwani wana videos nyingi sana lakini inabidi uwe na mtandao wa high speed. link yao ni hii www.bongoradio.com/videos.htm
ReplyDeleteangalia www.defunkadelic.com kuna video nyingi tu.
ReplyDeleteBlog imetulia na miziki imeenda shule. Keep the good work
ReplyDelete