Home
Unlabelled
holi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ewaaaa!Michu umenikumbusha mbali mzee.Kwa mbali kushoto ni Hall 2 na kulia ni Hall 5.Hivi DSM mvua inanyesha nini maana hiyo pitch inatisha.Kazi ni nzuri.
ReplyDeleteNafikiri picha hii hapa umeipigia kutoka Hall 3 (Dag Hammarskjold). Mbele kule naona Hall 1 (London Hall) ambapo nilipokuwa naishi Block G Floor ya pili ingawa sikumbuki namba ya chumba. Aisee umenikumbusha mbali sana. Kumbe bado UDSM iko vilevile; sasa vipi zile picha za matusi ya nguoni na habari ambazo huwa nazipata magazetini zinazoonyesha kuwa Mlimani imekuwa kama mtaa wa gerezani pale.
ReplyDeleteHiyo campus bab kubwa! Ina mvuto japo majengo yake yamechoka machafu tu pia miundo mbinu mingine. Hivi Tanzania hii tabia ya kukarabati mara kwa mara haipo! Viongozi wetu mbona husafiri sana ng'ambo na kuona mazuri ya wenzao. Wanashindwa nini kuiga ustaarabu mzuri na maendeleo ya wengine na kuyaleta Tanzania? Hicho ndio chuo namba 1 Harvard ya TZ lakini tabu tupu!
ReplyDeleteumeona kazi za michuzi ndio maana anaitwa finland kupewa tuzo pale chelsea,tuzo ya picha na uwandisi bora,
ReplyDeletemandhari inalipa...utassema nyu yoki
ReplyDeleteNaukumbuka mwaka 1966 niliolala usiku wangu wa kwanza hapo Holi 2! Na miaka iliyofuatia...wakati Mlimani ilipokwa Mlimani....na wakati Mzee Mkumba (mwenye aridhi kubwa iliyonunuliwa kujenga Chuo...kala pesa zote na malaya...kakodi teksi sijuia zaidi ya mwezi mzima nyumbani kwake kumtembeza)...badaye kaishiwa kila asubuhi kuuza ndizi! Maskini Mzee Mkumba!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteEEEE BWANA EEE, HAPA NDIO KWENYEWE KWA WAUME ZA WATU KUNYEMELEA TOTOS.
ReplyDeleteWANAFUNZI WA UNIVERSITY OF DAR HAWANA NOMA, KWA NGONO HAWANA HIYANA.
Ndo mtaa wangu wa zamani, SIMBA ROAD! Mikorosho bado ipo!
ReplyDeleteAsante sana kwa picha!
Kusema kweli mazingira ya UDSM ni mazuri, yamekaa ki chuo. Mazingira ya vyuo vingi ya ughaibuni vinavyosifika hayako hivyo wanakutamani. Labda tatizo liko ktk majengo.
ReplyDeleteI Love UD! See University ranking at http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa
ReplyDeleteMazingira siyo nyasi kuota tu, ni pamoja na kufyekwa mara kwa mara na kutotupa uchafu ovyo (hebu pitia hapo uone makaratasi, chupa za maji, mifuko ya maji ya hamsini namna vilivyozagaa)
ReplyDeleteKwa kweli pazuri
ReplyDeleteMr. Punch pamoja na kwamba ulikuwa unasumbua chuo miaka hiyo hila nimefurahi kuwa umetoa point nzuri sana mimi nafikiri walimu wa university of Dar wanastahili pongezi kwa sababu pamoja na matatizo yote bado unaona chuo ranking yake iko juu sana hiyo nafasi ya 15 Africa ni nafasi ya juu sana ukikumbuka kuwa south africa universities wana misaada mingi sana kutoka viwandani na makampuni ya ndani ya nchi.
ReplyDeleteHawa watanzania wanaviacha vyuo kama nairobi university, makelele nk.
Source nyingine ni
http://www.socialcapitalgateway.org/eng-rankingafrica.htm
kweli UD pazuri, ila vituko! umesikia external examina anatoa results mbili?? ya kwanza,denti kafeli, ya pili-denti kafaulu! mambo hayo ya FoL!!!!!!!kisa- mtoto wa ....malizia!
ReplyDelete