Home
Unlabelled
jumbe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhhh!! kaka kk unaaza kuharibika mwili sana kama mtu fulani mpaka mguu ukakataa kutembea.
ReplyDeleteKk nakushauri kuna na wakati wa kufanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni,usijiachiee bwaaaaaaa!!
Sasa Michuzi unatuchanganya hapo ni Tukuyu,Mbeya au Tukuyu,Japan?
ReplyDeleteHuyo msanii-muziki kaficha nini kichwani?
ReplyDeleteUzuri wa JK so far pamoja na mengineyo anaonekana ni rais mmoja very approachable sio kama miungu watu wengine katika nafasi kama yake.
ReplyDeleteFresh,
ReplyDeleteTarehe 25 tutakuwa wote pale Whats the Dickens, Ebisu.
Nitakamata taswira tumtumie Michuzi aweke kwenye Blog ;-)
Endelea kumakinikia fani!
yule dogo wa kikapu, Hasheem alivyovaa kofia watu mlivalia bango, sasa huyo mwenye kilemba kabisa mbona mmekaa kimya? watu bwana!
ReplyDelete