jk na mai waifu wake wakiwadukani kwa mama kapinga kwenye nanihii ya mlimani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duuu kaka michuzi siyo nakutania kaka,nimemandi kitanda hicho mwana,unaweza kuniambia ni bei gani mzee mzima kweli nipo serious nimtume mtu kesho hapo aje kuchukua mwana wangu plse

    ReplyDelete
  2. Gegedu, kweli umemaind kitanda au Mama Kapinga?????ha....ha... vitanda na godoro "safi la kunyoosha mgongo - OTHORPEDIC MATRESS inaanzia 3.5mill TSH,na kuendelea.,usimsumbue michuzi kwenda na kurudi Mlimani mwishowe tutamfikiria vibaya - Kama alivyo piga picha na miss Tanzania no 2,Diamond aliyemzidi urefu lakini picha ilitoka mchicha.!!

    ReplyDelete
  3. huyu dingi mwenye tege kwa hapa pembeni cjui kakitamani kitanda au kulala,au kunanii na huyu dada hapo pembeni,i mean kushirikiana tendo,tendo la kukinunua hicho kitanda.mh kidogo michuzi uitupe kapuni comment yangu nilikuwa nakuona tu maana wabongo bwana,mkiskia tu nyeti mshafikiria mbaali,waliimba wagosi.

    ReplyDelete
  4. Samahani bwana michuzi na wapitiaji wa blogu hii, kwa kweli mimi nawajua Kapinga wawili ingawa najua wapo kama watano hivi, sasa huyu mama Kapinga ni wa Kapinga yupi, mke wa marehemu au wa SUKITA au yupi? Nitafurahi sana kama nitaeleweshwa..................
    Shukrani.

    ReplyDelete
  5. Kapinga tupo wengi..huyo ni aunt wangu mke wa marehemu, kuna wa sukita na kuna wa mkono&co. Inafurahisha sana tunapoona wanawake wanafanya mambo makubwa bongo..ari mpya kasi mpya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...