rais wa burundi mh. pierre nkurunzinza akimsikiliza waziri wake wa habari mh. karenga ramadhani baada ya kuongea na wafanyabiashara wa bongo hapa dar. ikumbukwe mh. karenga alikuwa mtangazaji wa bbc kabla ya kuula.

mh. karenga ramadhani aliondokea deutsche welle kwenda kuula. aliacha kazi kama alivyofanya bibie hafsa mosi ambaye sasa ni mwandishi wa nkurunziza.

karenga alianzia dw miaka ya 80, akenda bbc, akajiunga na redio japan kabla ya kurudi tena dw hadi kuteuliawa kwake kuwa sisko (mkuu wa itiafaki) wa nkurunziza na baada aya uchaguzi waziri wa habari na msemaji wa serikali,wakati huo huo akihusiaka na ushirikiano kati ya serikali na bunge laburundi. asante aboubakary liongo ulieko bonn kwa data hizi. danke schon

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nguo walizovaa ni ushahidi tosha wa umaskini ulivyo Burundi.Tanzania tuwekeze Burundi na tuwasaidie kiuchumi wamechoka sana.

    ReplyDelete
  2. kawekeze mwenyewe nani awekeze huko panga nje nje! wenyewe kwa wenyewe kuelewana tabu itakua wewe mgeni!

    ReplyDelete
  3. Michuzi, hebu nifahamishe, Sheikh Dr. Mohammed Rukara ni kiongozi katika serikali ya Burundi?

    ReplyDelete
  4. Michuzi, vipi hujapata jibu?

    ReplyDelete
  5. Do you read these?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...