moja ya vimbwanga vilivyomo ndani ya toleo jipya la vichekesho la kingo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. du! hii kali

    ReplyDelete
  2. Ilisemekana kuwa bastola aliyotumia kum-dito Mbonde haijulikani iko wapi! Je, imeishaonekana? Je, kaificha kwa sababu aliisogeza kutoka jeshini? Kama kuna ukweli, ni silaha ngapi za Jeshi zimesogezwa namna hii?

    ReplyDelete
  3. huyu atakuwa aliiba jeshini ameogopa jinsi ya kujieleza

    ReplyDelete
  4. an officer never relinquish his gun, kuna baadhi ya vyeo ukifikia jeshini unastaafu na bunduki yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...