kava ya toleo jipya la jarida la vichekesho la kingo ambalo liko mtaani tayari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi,
    Mbona hawa jamaa wote wamechorwa wamafunga makaptura yao kwenye mapaja?
    Alafu yule mwingine makalio yake yako wazi kabisa?
    Hivi hizi ndio staili mpya za mashoga au ndio ugangwe wa siku hizi?
    Kweli nimepitwa na wakati!
    Nitashukuru nikipatiwa ufafanuzi.

    ReplyDelete
  2. Sasa michuzi kitabu ni kizuri ila hizi kava page hazileti sandfire, no changamoto kwa vijana wa kibongo chupi ya kimarekani walau mwenye uzalendo kapiga pensi yenye color za tz ila wowowo nje nje,sasa vijana wakiiga!2PE MPICHA WA KINGO KAPIGA PAMBA ZA KIBONGO!

    ReplyDelete
  3. Mimi iko taka jua hii mitoto ya Tanzania inakweda wapi na utamanduni wa namna hii?

    ReplyDelete
  4. Ha haaaaaaaaaaaaa thats the real life kwa baathi ya wasanii wa bongo aisee hiyo picha ipo kamili sana afadhali labda wale wasanii wetu wenye vivazi vya hivyo wakiona watabadilisha mavazi yao mana yanachefua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...