maalim seif akimpongeza lyatonga baada ya kupiga madongo sana juu ya kile alichokiita haja ya jk kuingilia mgogoro wa kisiasa visiwani. hii ilikuwa reo nje ya uwanja wa karume, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. HAWA JAMAA WANA KWASHAKOO HAWA ANA UCHUNGU NA TANZANIA WAKITAKA WAANZISHE CIVIL UNION WAKAPIGANE MITI CHECK WALIVYO NA NJAA

    ReplyDelete
  2. Mrema mbona kakondeana sana ana kisukari nini?

    ReplyDelete
  3. two losses giving each other moral support

    ReplyDelete
  4. Matapeli wawili wakipongezana.Mrema alitapeli Wachaga michango akaila.Hamadi yeye katapeli wapemba huku akiwa analipwa pensheni na kuishi kwenye ya serikali ya Zanzibar hadi sasa.Baada ya kuanza kulipwa pensheni Maalimu Seif hasemi ngangari kwa nguvu kama zamani sasa hivi kaachia mchovu mganga-njaa Lipumba ndiye anaitamka ngangari kwa mbali sana na kwa kunong`ona akiwa kajifungia ndani ofisini uchochoroni buguruni.

    ReplyDelete
  5. Wewe mwita chacha ndio maana unatokea mugumu. hawa ndio wapinzania tanzania wanataka kuangalia kama wanaweza kutuondoa watanzania katika fikra finyu za chama cha kupinduka na kutuelekeza kwenye neema wewe unawaita wachovu mbona wewe hujajaribu? Au unasubiri waivishe wewe urukie.

    Watu wengine bwana. Wewe si unona jirani zetu kenya walivyokuwa wamewekwa sumaku na siasa za moi? Sasa hivi wenzetu wanapeta angalau wanaona kuwa wanaweza kuendela. Wewe unabakia kufungwa kamba na makamba na chama chake cha kupinduka tu.

    Anyway ngoja niache michuzi asije akanifukuza make nasikia siku hizi hile camera yake ya digital ina darubini.

    ReplyDelete
  6. CUF sasa Finish.Lyatonga ni kibaraka wa sisiem kuvuruga upinzani. Inafaa aogopwe kama ukoma!

    ReplyDelete
  7. siku moja Tanzania itakuwa na maendeleo na demokrasia ya kweli kama ilivyo nchi nyingine zilizoendelea za kidemokrasia. may be in our life time.
    tukawa na vyama imara kama ccm, vyenye uwezo wa kuunda serikili kama ilivyo ccm.
    tukawa na serikali mbadala,(alternative gavumenti) wa chama kingine wawe na uwezo wa kuendesha nchi kwa sera nyingine ,ila yote kwa faida ya mtanzania.
    kama wanavyofaidi mataifa mengine,ya kidemokrasia kongwe)
    huwezi kuandika historia ya maendeleo ya demokrasia nchini kwetu bila kuwa andika hawa wanasiasa(mrema &seif....nk)
    wanahijati kuheshimiwa na kupongezwa.
    mungi ibariki tanzania.
    jamjuah

    ReplyDelete
  8. masikini weweee mzee wa kilalacha,umechoka kama kale kaugonjwa kamekupitia msee mekuu!!!

    ReplyDelete
  9. Ving`ang`anizi wawili wagombea uraisi wa maisha wakipeana pole baada ya kushindwa.Kila mmoja hapo ni mkabila wa kutupwa.Wanaendekeza ukabila hawa kupindukia.Mrema anawaza Wachaga Moshi na huyo mwingine anawaza Pemba.Hao wangeshinda vyeo vingekwenda vingi Moshi na Pemba.Tunamshukuru Mungu Kwa kushindwa kwenu tena.Amina.

    ReplyDelete
  10. Anony wa juu umechemsha hapo. Mbona Mrema hakushinda na bado vyeo vimeenda Moshi? Moshi ina mawaziri wengi katika hili baraza la JK kuliko sehemu zingine zo zote. Piga mahesabu. Ni uwezo siyo ukabila.

    ReplyDelete
  11. Urambo huko Tabora: kapuya, sita na sita (spika).

    Lakini hao akina
    Lipumba, Seif na Mrema wataendelea kushindwa mpaka lini?

    Ni proof ya bankrupcy, atrophy, and kaleidoscopic collapse of policy issues!

    CUF na Labour, tafuteni viongozi wapya tupambe upinzani vizuri. Kwani ni ninyi tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...