uwongo-uwongo? mavazi ya kimasai hayaongopi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana! Soar Tanzania, soar to new heights!

    Natabiri:

    Wakati utafika kwa wabuni wa mavazi kuyapamba hayo maduara ya shingo (vidani)maheleni na hako ka kichwa (sijui nikaiteje...ushungi?) kwa tanzanite, lulu, dhahabu, na almasi kama chambo kwa mafashenita (fashionistas) wapendao mavazi! Ulimwengu utatukoma!

    ReplyDelete
  2. SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII HAYO NDIO MAMBO MATAMU

    ReplyDelete
  3. (Disclaimer: Usilalamike, nachanganya lugha...on purpose!

    Safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!

    Tanzania, soar
    To new heights soar;
    You have come a long way, Baby, so soar!

    The once East African Cinderella, soar!
    To new heights, soar!
    Like Mount Kilimanjaro, soar!
    Like the heraldry Giraffe, soar!
    Like the heraldry Dhow, soar!

    To wake up the first bi-pedal humankind, soar!
    That humankind walking in the volcanic Olduvai Gorge, soar!
    For the spirits of schematic Kondoa-Irangi to dance, soar!

    Along the Coat of Arms: UHURU NA UMOJA, soar!
    Along hekima umoja na amani, soar!
    Wake kwa waume na watoto, soar!
    God bless Tanzania at her new heights soar!

    Natabiri:

    Wakati utafika kwa wabunifu wa mavazi kuupamba huo mkanda wa shingoni (sijui niuite kidani), heleni za masikioni, na sijui hako kadude ka kichwani nikaiteje, jamani (ushungi?) kwa tanzanite, dhahabu, lulu, na almasi kwa mafashenitas (fashionistas) wapendao mavazi ya urembo waje Bongo kuyatafuta, kama nyuki watafuta maua mazuri ya polleni na asali!

    Ulimwengu utatukoma!

    Tanzania, tufanye vyetu, kimya kimya kwa ari mpya, nguvu mpya, kasi mpya!

    For time shall come when we shall re-dedicate JK Nyerere's prophecy:
    "We shall light a torch and place it on Mount Kilimanjaro to shine beyond our borders..."

    (We managed to partially do it and placed that resounding success on a firm pedestal: PEACE (African envy), on our Coat of Arms carved in stone: UHURU NA UMOJA!)

    Sasa tuendelee kujenga vilivyoterereka!

    This is the Born Again Pagan signing off for now.

    ReplyDelete
  4. Kweli nguo za utamaduni zinapendeza. Dada rembo kapendeza kweli kweli. Hafadhali wamasaai walishikilia utamaduni wao mpaka mwisho, ndio wanaotupa majivuno ya culture yetu.

    ReplyDelete
  5. Mtoto mzuri sana utadhani mtoto wa Kichaga

    ReplyDelete
  6. Huyo dada amekaa kama MSOMALI. Lakini nguo safi sana.

    ReplyDelete
  7. Huyu dada ni nani? Ameolewa ana mchumba? Anakaa au kufanya kazi wapi?

    Sijawahi kuona malaika kama huyu. Wewe ndio malikia wa Tanzania. Ni mzuri sana na nilipo kuona tu moyo wangu ukapasuka, Nikirudi Tanzania nitakutafuta.

    ReplyDelete
  8. Okee safi sana! sasa nishapata mke wa kuoa, Michuzi lazima ukawe mshenga kule Ngarena nyuki karibu na ngurdoto

    ReplyDelete
  9. huyu binti kapendeza kweli....huu utamaduni wa haya mavazi inabidi tuudumishe

    ReplyDelete
  10. girl look preety;and that is perfect traditional outfit!

    ReplyDelete
  11. michuzi, wats this tasty treats name...na usiseme hauna jina...

    ReplyDelete
  12. Binti huyu anaitwa Nadya Mohammed, kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya Miss TZ mwaka huu. Alishinda taji la Miss Kinondoni ila wazazi wake walimtoa kwenye kinyang'anyiro cha fainali kwa kuwa alidanganya jina na wazazi wake (wazee wa kiislamu) hawakufurahishwa badala yake akaingia wema sepetu kama Miss Kinondoni namba 1 kwani alikuwa 2nd runnerup. Na ndiye aliyeshinda taji la Miss TZ.
    Thats the only info nilinayo.
    http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2006/07/17/70499.html

    ReplyDelete
  13. Mimi nafikiri kapendeza kwa sababu ni mtoto wa kihaya!

    ReplyDelete
  14. Lo! hata wachagga wanapendeza kwa hilo vazi la kimasai, hukumwona mgombea Ubunge wa Ubungo kwa ticket ya NCCR? Lecturer bomba saana!

    ReplyDelete
  15. Kweli vazi zuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...