mzee ali matumla namwela, baba mzazi wa mabondia rashidi, haji, mbwana, hassani na mkwanda. mwakani februari atakuwa na umri wa miaka 74, yeye ni fundi bomba na pia kocha wa watoto wake. haji amestaafu kucheza sasa ni askari polisi mwenye cheo cha sajini akiwa kituo cha chang'ombe. rashidi bado anazipiga na juzi alimnywa 'mtambo wa gongo' maneno oswald, wakati hassan naye kapiga mtu hivi karibuni na mbwana ndo katoka sauzi alikoshinda mkanda wa dunia wa ibf

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana mzee kwa kuwalea wanao na kuwa mabondia mahiri sana kupata kutokea Tanzania. Keep it up. Nadhani na wengine watafuata moyo wako. Jamani huyu mzee anadeserve something from the government.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...