kwenye mazishi ya dereva wa daladala anayeshukiwa kupigwa shaba na athumani ukiwaona ramadhani ditopile mzuzuri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hili ni jaribio kubwa tena kwa serikali ya kasi mpya. Yalianza ya akina Zombe sasa haya ya Ditto. Haya sasa yetu macho na masikio tuone Ditopile alivyoua kwa makusudi ataishia wapi. Kama kweli sheria na taratibu zitafuatwa tutakuwa na imani na serikali wakichemsha hapo itakuwa mbay sana.
    Tun imani kabisa mashahidi walikuwa wengi sana pale kwenye tukio hasa kondakta. Lakini si ajabu ukasikia 'ametoweka' bada ya muda.

    ReplyDelete
  2. Pale hakunakutoweka wala nini,maana viongozi wabongo wanalindana labda katikakula,lakini uuwaji viongozi wabongo bado hawajafikia,hayo wamemuachia sadamm hussein & Co. Hivi weweunafikiri mtu kama JK anaweza kumtetea Dito hapo?angekuwaamemchapa kofi basi tungeelewa binadamu hasira hata kama kiongozi, lakini MURDER?

    ReplyDelete
  3. Jamaa lazima atumikie,mKUU WAMKOAHUWEZI KUFANYA UJAMBAZIWATU WAKUTETEE1

    ReplyDelete
  4. mimi huwa kuna vitu vinanipa wasiwasi sana. Kwanza watanzania wengii mimi nikiwemo si proactive bali ni reactive.Ni sisisisi ambao tunawajenga hawa wapuuzi hadi kufikia sehemu ambapo wanaona kila kitu ni haki kwao, af likitokea tatizo kama hili tunareact kana kwamba tulikuwa tunategemea huu uozo kutokea(hindsite bias)wakati muda wote tulikuwa kimya na tunasifu kaka dito,kaka dito..tukiwaacha wanafanya wanavyotaka. Mbili,wasiwas wangu una zidi kuongezeka ninavyosikia kuwa huyu ni mtu wa karibu wa rais wetu na alkuwa bestman wake.uoga unazidi nikifikiria kuwa urafiki uwaga unaendana sana wakati mwingine na watu wanaoshahabiana muonekano, lakini nzuri, mbaya kwa hii case ni kwa wale pia wanaoshahabiana kimawazo na pia kiakili.Huwaga si mtu wa kupenda kuconclude mapema, lakini nikitumia huu mtazamo ninaanza kuingalia tena kesi ya babu seya kwa mtazamo mpya, kweli nimeamini lisemalwo lipo!. Tatu, najua kuna vingozi wengi tumewasifu, na tumewakashifu, lakini nimegundua uozo wa wale ambae wamekuwa wakikashfiwa kabla, haufikii ya wale ambao watu walikuwa kimya juu yao, hau ya wale baadhi ya wajuu wanaosifiwa sana( nafkiri mnanielewa!). Wasiwasi unataka kuniua ninapofkiri ipo siku watafanya zaidi ya haya na tutabaki tunashangaa na kusema tulijua wakati sio. Unajua sio siri mwanzoni nilikuwa naona watu wanaotoa maoni kukosoa wengine ni wazushi, lakini sasa nimeona umuhimu wa kukosoa watu hawa wanaotishia hali yeyote ya kijamii as ni njia ya kuwa proactive kwani wakijua watu hawapendi na wanajua watapunguza uozo wao. Hivyo napenda kutoa pongezi kwa watu wote waliokuwa wanakashifu upumbavu na uozo wa watu na naomba msamaha kwa mtazamo wangu wa kabla, kuanzia leo tuko pamoja. Kutokana na mwamko wangu huu mpya nadhani ingefaa hata kuanzisha blogu ya kuwaanika adharani na kuwapaka viongozi, watu, na vitukuu vyao ambavyo vinatishia value katika jamiii yetu. Hii nafkiri ni njia ya kuzuia uozo katika jamii( hata katika criminology kuna policy ya crime controll inayoitwa zero torelance ambayo inasema kuzuia uhalifu mdogomdogo ni njia nzuri ya kuzuia uhalifu mkubwa).kwa hiyo naomba mawazo yenu wanabogu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...