jk leo kafungua rasmi mlimani site shoping komplex

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. A real nice place. Kuna public toilets humo lakini? Na je wamiliki au hao wenye maduka watahakikisha vinafanyiwa usafi kila baada ya matumizi mafupi? Au ni mahali pa kwenda kununua tu vitu ila ukitingwa utajiju?

    ReplyDelete
  2. Wow!!! Hii kweli nzuri. I hope bidhaaa zitakua poa na pia wataweka hata majani yetu ya chai. Kwasababu maintanance ya hii place ukizingatia vumbi letu na udogo wetu mbona itakua kazi....lakini polepole ndio mwendo.... I love it.

    ReplyDelete
  3. Wow!!! Hii kweli nzuri. I hope bidhaaa zitakua poa na pia wataweka hata majani yetu ya chai. Kwasababu maintanance ya hii place ukizingatia vumbi letu na udogo wetu mbona itakua kazi....lakini polepole ndio mwendo.... I love it.

    ReplyDelete
  4. Kavalia njano!

    ReplyDelete
  5. Kama kawaida Wabongo tunafikiria kwanza shopping centers wakati hatujapata ufumbuzi wa matatizo kibao. Umeme, maji, na rushwa bado kibao from the airport, badarini, Uhamiaji! Huku mashule(secondary na primary) yetu hayana vifaa muhimu vya elimu, michezo kwa wanafunzi imefutwa unategemea Stars ifanye vizuri?. Hatuna walimu wenye mafunzo kamili na wa kutosha. We Need To Wake Up Peole!! Rais anahangaika kutafuta wawekezaji from one continent to another! Are you kidding?? Utapata vipi wawekezaji kama hauna umeme, or better trained people investors can hire.

    ReplyDelete
  6. Tanzania shopping mall inafunguliwa na rais!!!nimekumbuka siku moja nilisoma rais Karume kaenda kufungua bomba kibanda maiti.

    ReplyDelete
  7. Hao wanaolalamika mimi siwaelewi. Maendeleo kwa stepu. Matatizo mengine nayo yanashughulikiwa jamani. Slow but sure. Big up bongo. Inapendeza!!

    ReplyDelete
  8. Just out of curiosity....suala la wanafunzi wa UD kukaa chini wamelitatua vipi? Ni vizuri kwamba wamefungua kitu cha maana kama hiki maeneo hayo ila wamechukua hatua gani kuhusu suala la madarasa nk nk? Michuzi na wengine mtusaidie tafadhali kama mna jibu.

    ReplyDelete
  9. safi sana hapo!!! Ni matumaini yangu kuwa umeme na maji havitakuwa vya shida. Hii itapunguza umhumui wa kwenda Kariakoo kwa watu wanaoishi maeneo ya karibu na hapo.

    ReplyDelete
  10. naomba michuzi uweke picha ya amina chifupa na habari zake mana nasikia amesema mazungu wote anawajua na anataka kuwasaidia polisi kuwakamata,tupe habari kamili michuzi na picha ya chifupa.

    ReplyDelete
  11. wewe kijana hiyo place haijajengwa na serikali, so masuala ya mashule na rushwa hayafai kuongelewa katika hii topic, and by the way investors ndiyo wamejenga, lol!!!

    ReplyDelete
  12. zemarcopolo umesema kweli inashangaza kusikia Raisi anaenda kufungua Mall hii mpya and only in Tanzania does sum like this happen.

    ReplyDelete
  13. zemarcopolo umesema kweli inashangaza kusikia Raisi anaenda kufungua Mall hii mpya and only in Tanzania does sum like this happen.

    ReplyDelete
  14. Kuna mengi kama haya ya rais kufungua shopping mall, yapo ya waziri kuzindua website, waziri kuzindua vipeperushi (Zakhia Meghji na kipeperushi cha Tausi) ambacho tuliadanganywa ni kitabu.

    Nadhani wanasiasa wetu hawana kazi na wanalipwa kodi zetu kwa kufanya vitu vya ajabu ajabu saana mpaka unajiuliza kama upstairs kuko safi

    ReplyDelete
  15. Ajabu sana kaduka kanafunguliwa na rais wa nji? Waziri wa biashara hatoshi? Au mkuu wa mkoa tu? Ipo kazi inji hii. Au kuna mgao?

    ReplyDelete
  16. Ni imani yetu kuwa bidhaa za Tanzania zitakuwa nyingi katika hilo mall pia ajira na capacity building kwa wafanyakazi watanzania itakuwa kubwa
    .Vinginevyo kama ni duka ni la kuuza vyakula na vitu mitumba toka ulaya,kulifungua raisi ni aibu.

    ReplyDelete
  17. We unelalamika hapo 1:03:01 kuhusu matatizo ya umeme, shule, maji n.k. hayo ni mambo ya serikali kusort out hii ni private investment hivo vitu havina uhusiano na kama unaishi dar ungejua matatizo tunayopata kwenda mjini au kariakoo kwa shopping na vitu vingine ambavo havipatikani nje ya jiji. Hivo hii ni hatua muhimu katika kupunguza tatizo la foleni na vilevile kupunguza muda wetu kwa watu wa ubungo, kawe , mezi mwenge , kimara nk kutokuwa na haja ya kwenda mbali na kwao, we need more private investor wa namna hii wa ndani na nje kama wa ndani hawapo.

    Nawakilisha..

    ReplyDelete
  18. Safi sana! Lakini kama kuna vyoo ndani, na maji hakuna vyoo vitanuka Complex nzima itakuwa haiingiliki!

    ReplyDelete
  19. Sijui kama bei za bidhaa zitakuwa ni za wastani ikilinganishwa na maduka mengine? Shina shaka kwamba bidhaa zitakuwa za kiwango cha juu, wasiwasi wangi ni kwamba sisi akina yakhe tutamudu kweli!
    Lakini ni hatua ya maendeleo ambayo sina budi kuipongeza.

    ReplyDelete
  20. Lo1 afadhali, na sisi wa Ubungo na Mbezi tumejipatia shopping Mall karibu! Na yule kaka Imalaseko kule Tangibovu na bidhaa zake zilizo-expire! Atazipeleka Usukumani!!!

    ReplyDelete
  21. Sifikirii kuwa molu hiyo ni kwa walalahoi! Nia kubwa ya "uchu" (mafuta ya gurudumu la ubepari popote) ni kutengeneza fweza, fweza mingi tu. Buy low; sell high..siri ya Wolu Striti! Hapo Mlimani na its environs (Mbezi, Makongo, Kimara) kumejaa ma-hai na ma-midlo klasi wenye buying kapasiti ya juu - nyenzo na myanya halali ya kutengeneza fweza kwa wingi.

    ReplyDelete
  22. Ufunguzi ulikuwa saa ngapi? Kwasababu taa zilikuwa bado zinawaka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...