Home
Unlabelled
mnazi mmoja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hey lini unakuja huku. Kwasababu ukija huku uwe mgeni wangu hiyo ni asante yangu tu na mapochochopocho kibao kwa kazi unayoifanya. Picha zako burudani yateu huku. Hizi picha za vituo vya basi hivi vyote nimepanda hapa kwenda shule ndugu yangu. Yaani inanibidi kuforward tu hizi picha kwa wasela tunaotumia subways tu na kusahau tulikotoka. I can't thank you enough.
ReplyDeleteWeye anony kwanza ni mwanmme au mwanamke? Huko kutaka Michuzi awe mgeni wako ni kheri lakini? Kabla hujaukubali mwaliko huo nakushauli Michuzi ufanye kautafiti kadogo. Just curious :)
ReplyDeleteSasa huku ni wapi?
ReplyDeleteHahahahahhaa Anonymous kijana unanivunja mbavu,kwa mimi ninaona huyu ANONY ni mwanamke maana mwanaume hawezi kuwa kama yeye kwa kuongea pumba na kutokuwa na time kama ana lipwa!!huyu ni demu wa kinondoni kwa kujishebedua chinichini!!!!
ReplyDeleteNaona abiria wameanza kuwa wastaarabu sasa kw akupanga foleni. Ule mchezo wa kusukumana na kugombania kupanda basi ulikuwa sio ustaarabu kabisa.
ReplyDeleteSafi sana Michuzi.
aliyekuambia watu wapo kwenye foleni nani?michu hebu mpe huyo picha watu wanapokuwa kwenye purukushani ya kuingia kwenye gari,tena mtafutie picha ya abiria wa mbagala ajionee,foleni?foleni bongo?wacha utani wewe hapa kila mtu ana haraka zake,na wengine vibaka sasa wakipanga foleni ikifika zamu yake atayeyushaje au ndo dili limekufa?kwanza ingezuka biashara ya kuuza chance kwenye foleni kama wanavyouza change,au seat kweny gari kuna watu wanaenda mbagala bure daily,yeye akishapigania seat ili akupe wewe mwenye mzigo wa kitambi sharti umlipie na yeye,oohoo bongo hii aya!
ReplyDeleteWABONGO BWANA WALA HATUTAENDELEA. KWANI KUMWALIKA MICHUZI BASI MPAKA NIWE DEMU AU NIWE NAMTAKA? ACHENI HIZO? ACHENI UCHAWI? WANGA UMEWAZIDI. MICHUZI HONGERA KWA KAZI YAKO NZURI UNAYOFANYA HUKU. KWASABABU HATA NINAVYOKUJAGA TZ SIPATI MUDA WA KWENDA SEHEMU HIZI ZOTE UNAZOTUONYESHA. ASANTE SANA. ACHANA KABISA NA HAWA WANGA TU. KILA PICHA LAZIMA WATOE SABABU AU KUIKASHFU UTAZANIA WAO WANALO LOLOTE
ReplyDelete