Home
Unlabelled
mnuso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona wenyeviti wa vyama pinzani meno njenje,hapo hawana neno,ngoja sherehe iishe utawasikia oooohhhhh tunaaandamana siujui nini.Wapinzani wa bongo bwana uchwara kweli kweli
ReplyDeletemheshimiwa lip[...lipumba, anaonekana kufurahi sana,sijui kuna nini hapa.
ReplyDeleteanyway, siasa sio vita ni kujenga hoja zenye nia ya kuchallenge njia za maendeleo.
idumu tanzania.
Ukiwapa kula tu wananyamaza.Heko Kikwete kwa kuwakaribisha kula.Mrema keshakolea na Bia ya Kilimanjaro hapo hatii neno.Lipumba naye anapenda pilau huyo!! Sijapata kuona.Hapo alikuwa anachekelea pilau likipakuliwa.
ReplyDeleteSaa yoyote hawa wanarudi CCM.Vyama vya upinzani anzeni kuandaa watu wa kuchukua nafasi zao.Lipumba ana akili nyingi ila kakaa chama cha wachovu na kitendo cha kutooa hadi leo kinamshushia hadhi wengine hadi wanamtuhumu eti kuwa ni shoga.
Mrema hamna kitu hata akirudi CCM.Nguo zake nzuri zimechakaa sasa hivi anashindia hayo masuti ya maskini wa kichina.Kikwete mnunulie koti na tai ya Mtumba jamani.
Sasa waliokuwa wanasema Mrema kazeeka mbona hapo katoka kijana kabisa? Au mnasemaje unajua mzee baada ya kuambiwa kuwa umeitwa ikulu gafla mwili ukabadilika. Lipumba na JK si walisoma wote?
ReplyDeleteWatakuwa wanakumbushana ya mlimani pale jinsi walivyokuwa wanakunywa maziwa kabla nchi haijaliwa na kuwa masikini.
Wakati huo ikiwa kweli Tanzania na siyo Tan-danganyika