huyu ndiye nyota ndogo toka mombasa kwa watani wetu wa jadi. ukimuondoa said karoli, hakuna msanii mwenye sauti tamu kama huyu ist afrika mashariki. tafuta kibao chake kipya cha 'watu na viatu' ujue nasema nini...hakyanani tena

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...