mstahiki nyupi kantumia picha hii na kusema dogo huyu alipewa taff na dingi wake toka enzi hizo hadi sasa, na kauliza bongo vipi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Utamaduni wa ku-"mentor" hatuna Bongo. Hapo ndo kunatatizo..hebu cheki hii article niliyoandika zamani kidogo kuhusu hilo:

    http://mettyz-bongoland-reflections.blogspot.com/2006/06/mentoring-lacking-tradition-among.html

    ReplyDelete
  2. Misingi ya maisha ya watoto inategemea sana wazazi kama baba au mama atakuwa hana muda na mtoto unategemea nini? Gaucho unamuona sasa alipo? sijui baba yake yuko wapi? lakini big up kwake. Je bongo wangapi wanakuwa bega kwa bega na watoto zao ktk nyanja hizo? waelimisheni wazazi hapo badala ya kula kilevi, nyama choma na totoz wawe wanakumbuka majukumu pia, kwani ni misingi mizuri ya maisha ya vijana wetu, wenzetu hilo ni jambo la kwanza ndio maana wako mbali ktk maisha,

    ReplyDelete
  3. Michuzi Gaucho kweli Mzazi alikuawa anampiga tafu sana na matokeo yake tumeyaona na sio gaucho pekee, wako wengi hata wale mabinti wa US wacheza tenisi Serena William na Nduguye au Tiger Wood,hiyo ni tamadunia ambayo wenzetu wameijenga, vipi Bongo wazazi? mzazi anaelewa hilo? na Je wanaelimishwa hayo?

    ReplyDelete
  4. Michuzi hayo ndio tunayoyataka, Huyo Ronaldinho, anahaki ya kuwa hapo alipo halafu ni baba yake mtupu hata meno hahahahahahaha.......

    ReplyDelete
  5. Bongo pia wapo wazee kama hao ila wanakatishwa tamaa tu. Angalieni mfano wa mzee MATUMLA katika ngumi.

    ReplyDelete
  6. Mr. Michuzi! That's a great picture of Ronaldinho. I'm a great fan of his. Thank you. I'm a fan of your blog too. keep it up.

    ReplyDelete
  7. MASAHIHISHO; Dingi yake GAUCHO alifariki miaka zaidi ya kumi na tano iliyopita, ni kweli alimpa msingi mzuri wa soka na support kubwa, lakini kaka yake Roberto ndio aliyemkuza kimaelekezo akisaidiana na mama yake.

    ReplyDelete
  8. Misingi yake ilijengwa na baba yake kaka yake aliendeleza kumpa tafu

    ReplyDelete
  9. oyaa vipi mbona comment zetu unaminyaa? noma hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...