hapa ni posta mpya leo jioni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ikifika jioni hapa daladala inabidi uzipitie denge,la sivyo utakaa mpaka usiku.tatizo ni kwamba daladala nyingi za posta mida hiyo zinaishia migomigo kuogopa rush hour traffic.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Naona kina kamvua hapo Dar, walau joto litapungua.

    ReplyDelete
  3. hawa watu wasubiri tu soon high speed bus inakuja,shida zenu za nyuma mtatatuliwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...