sauda simba kilumanga ni mmojawapo ya wengi wanaoupuna kimasai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Shavu dodoooo mama,bado hupo mzee mengi au umeshalala mbele kama wengine.

    ReplyDelete
  2. Nguo hiyo inawapendeza akina mama wa kimasai sababu wana miili iliyojaa jaa nyama lakini kwa kimbaombao kama huyu Sauda ni vizuri utafute nguo nyingine. Mimi nasikia kichefuchefu nikiangalia huto tumikono na tubega tulitokondeana.Hivi hulipwi mshahara ule chakula au ndio mtindo wa kujifanya unataka English figure wakati unajua fika hapa si Uingereza ni Uswahilini Blog,Tanzania,Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...