Home
Unlabelled
teksi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh michuzi umenikumbusha bench la air port kwani madereva wa pale wote wana, wanawake wawili nasikia ndiyo sheria walio weka kama una mwanamke mmoja basi lazima wakutimue kwenye kijiwe chao hicho cha kucheza drafti na huku wakisubiri abilia alafu sasa wote simzee wala kijana wote wanasema kama wamemeza kaseti
ReplyDeletembona hakuna kwetu kigogo au kwakuwa hakuna wadosi wenye nazo?
ReplyDeleteBw, Michuzi naona hili bango ni la wageni wanaokuja kutembelea TZ. I kiwezekana naomba tuwekee bango letu wenyeji tunaorudi home.Siitaji kuyataja maeneo tunayoishi watanzania wengi,Nafikiri unayafahamu.
ReplyDeleteMichuzi hilo bango sijaona bei za kwenda Temeke kwa ndugu zako wakwere,wazalamo na wandengereko wao huwa hawapandi taxi? Au madereva taxi wanajua kuwa Temeke hakuna wapanda ndege ndio maana wakaona hamna sababu hata ya kuweka bei za Temeke ambako ni third world kwa jiji la Dar es salaam.
ReplyDeleteMie naona hao madereva wanapunjwa kwa kuweka bei "fixed". Ukizangatia foleni iliyopo Dar, kama ndege imewasili muda mbaya elfu ishirini kufika mjini ni pesa kidogo. Wageni/wazungu hawawezi kujali kulipa hata dola 50 kufika mjini.
ReplyDeleteTemeke mliye tu,maendeleo yako Kinondoni na Ilala.Madreva taxi hawajawasahau kwa bahati mbaya.Serikali yenyewe imewasahau pamoja na kuwa huko watu wa Kabila ya Kikwete wako wengi maana hawawezi kuafford kukaa kinondoni au Ilala kwa kuwa Kodi hawawezi kulipa za nyumba za kupanga.Wenyeji wa Dar es salaam na Pwani wilaya yao ni Temeke.Temeke ni wilaya ya Wachovu wa Pwani wakiwemo wa kabila la Kikwete ambao vazi lao kubwa ni Ndala na usafiri wao mkubwa ni daladala zilizochoka na zinazopita kwenye barabara mbovu.
ReplyDeletehivi hakuna maprogrammer wakuwatengenezea hao watu kasystem katakoweza kuonyesha bei kwenye screen. Karne ya 21 bado tu kuandika ubaoni????
ReplyDeleteWakifungua ofisi hapo itakua bora zaidi
ReplyDelete