Home
Unlabelled
wapi!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa tunaojua mji hapo ni BP aka brake point au unabisha kaka michuzi
ReplyDeleteNikupe mji?
ReplyDeleteHapo Break point!, hapo watu wanakula michemsho kama hawana akili nzuri!
ReplyDeleteBRAKE POINT -KWA WASUGUA UKUTA... WANAUME WAMBEYAAAA eti WAZEE WA UKUTA...yaaani ukiingia hapo BP watakuchambua mpaka umekula nini asubuhi....na ni WANAUME!!! DUH...
ReplyDeleteyah nakubali hapo brake point mana kwa nyuma kuna gereji hapo yalipo magari mengi
ReplyDeleteBreak point ni wapi sinza, kiburugwa, kigogo au wapi? tuambieni tulio ughaibuni nasi tukirudi tukajivinjali.
ReplyDeletewoote mmekosea, hapo ni Medellin, colombia kwenye maabara ya miponeo.
ReplyDeleteDuuuh Michuzi nimekubali,hapo ni Brake Point mara kwa mara huwa naenda kupata Brenda Fassie(samaki mkubwa wa ziwa victoria) kwa ugali wa muhogo mashallah chakula chao safi sana! anony mmoja hapo juu kazungumzia wanaume wambeya pale,mimi ninavyofahamu watu wanaofanya pale kijiwe ni Friends Of Simba je hao ndiyo wanaofanya huo umbeya??
ReplyDelete