Home
Unlabelled
aaliya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo ni one of the best rapaz wa FM Academia anaitwa Kalidjo Mwana Kitokololo a.k.a Mzuri sana ambaye alijiunga na bendi hio akitokea KINSHANSA mara tu baada ya kuondoka kwa rapa maarufu kwa wakati ule alieinyanyua sana FM Academia hakika mchango wake bado utakumbukwa...anaitwa Toto ze Bingwa he if from Kivu Province sina uhakika ni South ama North.To be honest Wazee wa Ngwasuma XXL Funika Bovu wanatisha hapa DSM u cant compare them with Twanga labda kidogo kwa mbali Chipolopolo ni wabunifu na wanajua kuweka mionjo mbalimbali katika mziki wao tofauti na Original ambapo muziki unaanza hadi unaisha unasikia sauti moja tu ya Ali Choko.....Asha Baraka kazi unayo
ReplyDeleteMi ni moja wa wapenzi sana wa hawa jamaa 'WAZEE WA NGWASUMA'. The guys are very gud ukianzia katika kuimba, rap ushambuliaji wa jukwaa etc. Ukianzia kwa Vocaliste akina Alphabet Kabeza, Nyoshi, Pablo, King Blaise, Patcho Chizi,Mdogo wetu Jose Mara, na wengine wengi hakika kazi zenu tunazikubali sana na mna baraka zote za Bana ba Tanzanie lakini iko na problemme un juu kumbi mnazopiga. Makumbusho ni pazuri sana ila balaa lake mvua likinyesha na vumbi lile liliko pale.........Mnakumbuka ile mvua ya kama 2wekend ago karibu watu wauane pale kila mtu akitaka kutoka, naamini kuna washabiiki wengi wanataka kuja kuwaona lakini wanashindwa. Salander Bridge its nice place and I think everyone like the place ila sasa huwa hamfuati ratiba zenu za kila IJUMAA. Jaribuni kuongea na uongozi mpya wa Klub kwa sababu sasa kuna viongozi wapya na wako very creative wanataka kunyanyua kipato cha Klub.Kwa yeyote atayewaona naomba awafikishie UJUMBE huu!.......otherwise Big up wazee wa Ngwasuma....Atake Bango Bango baaana!.....
ReplyDeleteHuyu dada nakumbuka kama alikua twanga chipolopolo, naombeni munisaidie kama nimekosea. Hivi Mulemule asharudi kwani nasikia alikua Uarabuni
ReplyDeleteAnonymous...Kwa taarifa yako Mule Mule kwa sasa yuko Palm Beach Club one of the Africa Klub owned by Cameroons ama Nigeria pale Dubai ila kuna kipindi kipindi kama miezi miwili ama mitatu iliopita alikuwa Bongo....Once u visit the klub utawakuta pia kina Chai Jaba na G-seven!
ReplyDeleteKachupi rangi dhahabu ukingo mwekundu utadhani kaushanga mtungo!
ReplyDelete