Home
Unlabelled
bemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona udenda unamtoka Kikwete.Ana lionea donge hilo jumba.Usithubutu kujaribu kujenga jumba kama hilo Kikwete.Bemba kalijenga kwa dhahabu za wizi.Wewe hata ukitaka kujenga huwezi.Kwanza Bagamoyo walivyo wanga watakuloga hata kabla msingi haujaisha.
ReplyDeletehela zipo nakubali lakini class hakuna...marangi gani tena hayo anatuletea kama nyumba za wahindi.....WAKONGO bwana! utawajua tu si mavzi kumbe hadi nyumba zao zimekaa ki-pe-de-je!
ReplyDeleteHongera Raisi Kikwete naona Unaingia kwa tahadhari.Du! Jengo limekaa utafikiri jumba la jambazi.Maana yake unavyoliingia kama unaingia kwenye Pango la Mashimo ya Mfalme Suleimani.
ReplyDeleteAkitoka huko sasa ni kujenga majuba kama hayo kwa hongo za Barrick. Ama kweli siku ya kiama tutakuwa wengi.
ReplyDeletekikwete anaingia kwa tahadhari,anachofikiria nikirudi `bongo nitashusha mbili kama hizi wala sitaweka usiku` udenda unamtoka viongozi wa africa.
ReplyDelete